CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Natoa ombi langu la kusamehewa na wana jukwaa kwa kutoonekana kutokana na sbb za kimajukumu ambazo zimenilazimu kwenda kuwakilisha ofc kwny maadhimisho ya Mei Mosi mjini Bunda, hivyo kwa hali yyt ile nisingeweza kujigawa! Naamini huu ni mwanzo wa mikutano mingi itakayokuwa endelevu jijini Mza, nami naahidi kutokea live bila chenga kila utakapoitishwa mkutano mwingine! Ni matumaini yangu kuwa wanajukwaa mmenielewa na kukubali ombi langu la kusamehewa kwa kutohudhuria! Ahsanteni
Kwa niaba ya JF Rock City Wing ombi lako limepokelewa.. Panga kutokosa kikao kijacho!! Karibi
Yaani ungejua! Nna hamu kama nyama ya kuchoma!
Ni furaha iliyoje kukutana live na member mnayekutana jukwaani? charminglady Elizabeth Dominic Rock City ram Home First na mzee GEDEL na wengine BIG UP sana kwa mwendo mliouanza leo.
fanya ufanyavyo ila usimzoee charminglady please, Elizabeth Dominic sawa ila ex wangu mwiko
fanya ufanyavyo ila usimzoee charminglady please, Elizabeth Dominic sawa ila ex wangu mwiko
Hahahah fimbo la mbali haiui nyoka....mkwe inabidi uweke ulinzi wa mbwa wakali bhaaaaasssi
Karibuuuu
Karibuuuu
Kwa niaba ya JF Rock City Wing, napenda kutoa shukran sana kwa member wote walioacha kazi zao na kuja kujumuika pamoja nasi. Wengi walifikiri tutaishia kwenye thread lakini tumeweza kukutana. Tunashukuru kwa moyo huo. Huu ni mwanzo tu, natumai next time tutakuwa wengi zaidi....
Asanteni sana na karibuni tena.
JF Rock City Wing PAMOJA TUNAWEZA
Nakala kwa: Gedeli, Rock City, Think pad, ram, Elizabeth Dominick, Home First na wadau wote wa Mwanza.......
Cheers
CL
Karibu sana mkuu denoo49, mimi kama Kiongozi wa muda wa JF Rock City Wing tunakukaribisha saaaana katika Wing hii.... Kikao.kitakachofuata tutawajulisheni wadau.
Hahahaaa....kwani mi cha wote?
meona! nshaanza kupigwa stop ya mazoea hata kabla sijaijua sehemu na watu wake.
Wadau wenza mie ni mwenzenu hasaa! Mwanang'wanza! Na nilipania sana! Hili kutano lisinipige kanzu, lakini mkamia minze, malenga, amaizi ! Kinachompataga mwakijua!
Tarehe 1 imenipata away of my permanent cirry!
Btw not bad azma ninayo, namuomba muwezeshaji anibarakishe niwepo next meetin!