Hongera JF MWANZA kwa kukutana!

arusha first dar second mwanza third who is next?
 
Kwa taarifa yako denoo49 huyo watu8 ni baba mzazi wa charminglady ndo maana anakupiga mkwara. By the way charminglady ni mchumba wangu.

teh! raha iliyoje kumjua baba mkwe. Ushatoa kishika uchumba, au cheo tu? Maana ni rahisi uchumba kuvunjwa ila ndoa ni vigumu. Natumai kukutana na Bango welcome Mwanza toka kwa Charminglady.
 
Last edited by a moderator:
teh! raha iliyoje kumjua baba mkwe. Ushatoa kishika uchumba, au cheo tu? Maana ni rahisi uchumba kuvunjwa ila ndoa ni vigumu. Natumai kukutana na Bango welcome Mwanza toka kwa Charminglady.


Nakuangalia tu....

CC: charminglady
 
Last edited by a moderator:
raha iliyoje kumjua baba mkwe. Ushatoa kishika uchumba? Natumai kukutana na Bango welcome Mwanza toka kwa Charminglady.

Bado unapenda kuwa na kucha, macho na meno yako au umeshayachoka? Angalia sana kijana usije...
 

Usijali mkuu... Hapa naongea kama muwakilishi wa JF RC Wing. Sio kama charminglady kwa hivyo usiogope sana vitisho vya C6 .... Kikao kijacho kitafanyika tarehe 19/05/2013 venue tutawajuza.. Pia tutaweka thread 1 week before.

Karibu sana

JF Rock City Wing "PAMOJA TUNAWEZA"
 
Last edited by a moderator:
Please daughter stop crying eeenh...daddy is here...


Arushaone hebu mwenyewe chagua adhabu mojawapo kati ya hizi:

1. Uwe asusa wa huyu DOG wangu...


2. Uruke kichura kutoka ghorofa ya 20 hadi ground floor...


3. Uende likizo ya kupumua kwa kuzamishwa kwa maji ya kidumu...


Daddy watu8.... Am afraid of this old man!!!! Please help!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…