Kamjingijingi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2009
- 806
- 129
Asalam-aleykum. baba na mama hongereni kwa upendo kufikisha 2O years .bila uvumilivu.kwa pande zote mbili hamungekuwa hapo mlipo .tena mmpendeza sana.mama mashaallah!!. hiyo nguo kama kazaliwa nayo!.baba halikadhalika. mmependeza!!!.wenye chuki zao hatuwakatazi . nywele zimependeza mtindo huo kama unakichwa kimekaa ovyo husukwi ng'oo!!!!!! hawakumuona alie kua hapendezi? mdomo huponza kichwa.huyu mama ni mpole tena ana hekima muone sura yake inajieleza.kapendeza!!.