naomba mungu niendelee kuishi ili nione mwisho wa hili
nywele ..................
Vipodozi............
Nguo..................
I dont know what made those chinese settle for such amount of cash.
Hivi huo mkataba ni wa kuuza bidhaa gani?zile nywele zake za kidoti bado zipo?
All in all hongera mdada JoJo.
sidhani kama jokate atalipwa 8 bil. , inawezekana uzalishaji wa bidhaa zote unafikia gharama ya 8 bil sasa jokate atakuwa na gawio lake hapo. Kupewa yote 8 bil. Napata ngumu kumeza.
ila tayari ameshajitengenezea njia nzuri ya mafanikio kwa kweli