Hongera Jokate

Hongera Jokate

naomba mungu niendelee kuishi ili nione mwisho wa hili

nywele ..................
Vipodozi............
Nguo..................

I dont know what made those chinese settle for such amount of cash.

biashara za vitu vya kike na watotot zinalipa sana ht ki uswazi uswazi
 
Bilioni nane. Hapa hapa Tanzania? Haya hongera na Bilioni za kusadikika
 
Sidhani kama Jokate atalipwa 8 bil. , inawezekana uzalishaji wa bidhaa zote unafikia gharama ya 8 bil sasa Jokate atakuwa na gawio lake hapo. Kupewa yote 8 bil. napata ngumu kumeza.
 
sidhani kama jokate atalipwa 8 bil. , inawezekana uzalishaji wa bidhaa zote unafikia gharama ya 8 bil sasa jokate atakuwa na gawio lake hapo. Kupewa yote 8 bil. Napata ngumu kumeza.

ila tayari ameshajitengenezea njia nzuri ya mafanikio kwa kweli
 
Back
Top Bottom