Hongera JWTZ kwa kumiliki Humvee

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Nalipongeza JWTZ kwa kumiliki gari madhubuti la kivita aina ya Humvee.

Nilikuwa napitia wikpedia nikaona hiyo taarifa kwamba kwa East Africa ni Tanzania na Uganda kwa mbali.

Humvee sio gari la kitoto ni gari la deraya matata sana na kwenye uwanja wa Vita ni super utility to have.

Halipinduki hovyo kutokana na lilivyoundwa ni pana na fupi hivyo lina stance.

Hongera JWTZ.

 
Tatizo la bongo hata hiyo humvee nayo ya uchina kama ndege vita zetu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…