Hongera JWTZ kwa kumiliki Humvee

Hongera JWTZ kwa kumiliki Humvee

MRaPS ndio nini na ina matumizi gan
Mine Resistance Ambush Protected vehicles..
92a88f4f69cd39567169d4a865057a7f.png
 
Nalipongeza JWTZ kwa kumiliki gari madhubuti la kivita aina ya Humvee.

Nilikuwa napitia wikpedia nikaona hiyo taarifa kwamba kwa East Africa ni Tanzania na Uganda kwa mbali.

Humvee sio gari la kitoto ni gari la deraya matata sana na kwenye uwanja wa Vita ni super utility to have.

Halipinduki hovyo kutokana na lilivyoundwa ni pana na fupi hivyo lina stance.

Hongera JWTZ.
Mimi ndio namalizia kozi ya kuliendesha
 
Humvee sio gari la kitoto ni gari la deraya matata sana na kwenye uwanja wa Vita ni super utility to have.

Halipinduki hovyo kutokana na lilivyoundwa ni pana na fupi hivyo lina stance.

Hongera JWTZ.
Haya magari yalichakazwa sana huko Iraq, ingia net ujionee mwenyewe mkuu yalivyo lazwa chali cha mende
 
Nalipongeza JWTZ kwa kumiliki gari madhubuti la kivita aina ya Humvee.

Nilikuwa napitia wikpedia nikaona hiyo taarifa kwamba kwa East Africa ni Tanzania na Uganda kwa mbali.

Humvee sio gari la kitoto ni gari la deraya matata sana na kwenye uwanja wa Vita ni super utility to have.

Halipinduki hovyo kutokana na lilivyoundwa ni pana na fupi hivyo lina stance.

Hongera JWTZ.
Sisi tunajisifia kwa kumiliki kagari kamoja wakati wenzetu wanapimana ubavu kwa kumiliki mitambo heavy ya kulinda anga + makombora ya masafa marefu achilia mbali drones!

Kweli safari yetu bado ndefu.
 
Hv ikitokea ukaingia vitani na hao waliotengeneza magari hayo madini nakuwaje!!?
 
Sisi tunajisifia kwa kumiliki kagari kamoja wakati wenzetu wanapimana ubavu kwa kumiliki mitambo heavy ya kulinda anga + makombora ya masafa marefu achilia mbali drones!

Kweli safari yetu bado ndefu.
wakati huo hutaki yanunuliwe maana wananchi hawana sukari[emoji38][emoji38][emoji38].

binadamu ukimtafakari sana unaweza ishia kumheshimu kiumbe mwingine.
 
Iyo ni kazi njema ya serikali ya awamu ya tano chini ya jemedari Magufuli
 
Nilifikiri wamegundua au wamebuni Humvee kumbe ni hongera kwa kununua / kuagiza na kumiliki gari hilo
 
Iyo ni kazi njema ya serikali ya awamu ya tano chini ya jemedari Magufuli
Mimi nilifikiri wamebuni tractor au tumegundua hata mashine za maana kumbe ni kutumia pesa za fukara la wewe kuagiza silaha?
 
Sisi tunajisifia kwa kumiliki kagari kamoja wakati wenzetu wanapimana ubavu kwa kumiliki mitambo heavy ya kulinda anga + makombora ya masafa marefu achilia mbali drones!

Kweli safari yetu bado ndefu.
Ni sawa na karubandika mmoja kujivunia kumiliki pikipiki wakati kuna watu wanamiliki Vitu vya thamani zaidi.
 
Hii habari bila picha, ni mboga bila chumvi.
 
Kwanini usitoea hongera kwa beberu aliyetupa msaada
 
Nalipongeza JWTZ kwa kumiliki gari madhubuti la kivita aina ya Humvee.

Nilikuwa napitia wikpedia nikaona hiyo taarifa kwamba kwa East Africa ni Tanzania na Uganda kwa mbali.

Humvee sio gari la kitoto ni gari la deraya matata sana na kwenye uwanja wa Vita ni super utility to have.

Halipinduki hovyo kutokana na lilivyoundwa ni pana na fupi hivyo lina stance.

Hongera JWTZ.
Hongera sana ila wazee wa taliban walikuwa wanayabutua na mizinga.
 
Back
Top Bottom