Hongera JWTZ kwa kumiliki Humvee

binadamu ukimtafakari sana unaweza ishia kumheshimu kiumbe mwingine

Maneno Kuntu
wakati huo hutaki yanunuliwe maana wananchi hawana sukari[emoji38][emoji38][emoji38].

binadamu ukimtafakari sana unaweza ishia kumheshimu kiumbe mwingine.
 
Mm nilifikiri wamebuni tractor au tumgundua hata mashane za maana kumbe ni kutumia pesa za fukara la wewe kuagiza silaha??? Poor and idiot you
Baada ya kufikiri mpaka mwisho ndo umekuja na comment hii??? Jinga kabisa
 
rais wetu anafa nya mambo mazuri kila upande kimya kimya safi sana
 
Humvee ni silaha ya kawaida kabisa wala si ya kutishia usalama. Kwanza sijui kama ni MRAP, ukija na RPG tu unaweza itoa. Unaweza shangaa hata heavy machine gun inaiharibu.
 
Hivi RPG ikiipiga hii gari si mchezo umeisha hapohapo?
Hii ni amored,,RPG itafanya damage kidogo sana,,labda anti tank (ATGM)ndo inaweza kuliharibu,
Hii gari ni maalum kwa mine resisting,,mine ni bomu la kutega ardhini,,haya magari chesesi yake ni chuma kizito mfano wa v,,,so ikikanyaga mine bomu likalipuka,,waliomo ndani hawaathirika
 
Sasa hiyo ishakuwa Anti-Tank Guided Missile itashindwaje kupiga vehicle ndogo hivi. Hata ukitumia RPG inaweza ipoteza.
Humvee sio ya kwenda front line bora ingekuwa hata IFV au APC.
Nadhani kila silaha inakazi yake na mahali pake pa matumizi....sio kila sehem
 

Hivi tusemapo “deraya” tuna maana gani?
 
Humvee moja dola 200,000 karibu sawa na tsh milioni 500,
MRAPs ni USD 1000000,sawa na bilion 2.3 kwa moja
Kweli garama sana..ukiwa nayo 50 bajet yake sio poa hapo bado garama za mentainance ....vipuri nk
 
yanatumia sana mafuta hili linatushinda tukaamua kuchonga nissan patrol tunalitumia kwenye event mbalimbali

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…