Kuna masuala ambayo watu kusaidiana ni kawaida.
Magufuli alimuomba Kagame amletee mfumo wa ulipaji kodi wa kieletroniki sio kuisaidia TRA.
Unajua maana ya kusaidia halafu TRA ??
We jamaa bhanaa.
Hata USA inachukuaga tech India na Israel ya baadhi ya vitu sijui umenielewa ???
A
Asa ndugu utaagizaje mfumo pasi na kuomba na wataalam wa mfumo kukufundisha uendeshaji huo mfumo??Hakuagiza mfumo, aliomba asaidiwe wataalam tena wa teknolojia, ukae ukijua Rwanda wamewafunika kwenye ujuzi na mambo mengi.
Asa ndugu utaagizaje mfumo pasi na kuomba na wataalam wa mfumo kukufundisha uendeshaji huo mfumo??
Ni sawa na Turkey imeagiza s-400 toka Russia na inaelekezwa utumiaji wa huo mfumo wa ulinzi.
Hawatuendeshei hiyo mifumo ya ulipaji kodi wa kieletroniki bali walileta na kufundisha utumiaji wake.
Rwanda hamna kitu ni baadhi tu ya mambo wanayajua ni poor arrogants tu.
Mimi nawafaham vema kaka wale watu.
Hizi habari za juzi sana 2016, hata kuagiza mfumo kutoka Rwanda na wataalam wake ni ishara tosha kiongozi wenu aliona ujuzi wenu zero haujafikia wa Wanyarwanda unaowadharau humu. Mimi binafsi ni mtaalam wa kutengeneza software na itaniuma sana nikiskia rais wetu analazimika kutafuta wataalam kwenye nchi jirani kuja kufanya kazi hiyo hapa. Aagize mahindi maana nchi yetu eneo ndogo tu ndio lina rotuba, lakini kuagiza hata vitu vinavyohitaji matumizi ya akili tena kwa kainchi saizi ya mkoa, kainchi jirani hapa, dah lazima nitakesha nikijishangaa wapi nilikosea.
Nakumbuka Watanzania walifungua nyuzi humu wakilalamika sana.
Haya hapa maneno aliyotumia rais “Rwanda is very competent in ICT [information and communications technology] and President Kagame has assured me that he is ready to give ICT experts to assist us in establishing a robust and tamper-proof revenue collection system,” he said.
Taarifa hizi hapa https://www.thecitizen.co.tz/news/N...curb-theft/1840340-3276866-jchdbyz/index.html
Ndio maana nikakwambia hakuna taifa lililokamilika ktk nyanja zote.
Kwani kaka wapi hunielewi???
Rwanda ipo vzuri ktk ICT nakubali ila kuna mambo mengi Rwanda haina ujuzi kutuzid.
Ndio maana nikatolea mfano USA mbona huchukua ICT experts toka India is US also not ashamed ??
Usiponielewa hapo nanawa mikono.
China mwenywe mpaka Sasa bado hajatengeneza simu yeye Kama yeye itakuwa haovideo hii wanaosema ni assembly! Congrats Rwanda [emoji1206]