Hizi habari za juzi sana 2016, hata kuagiza mfumo kutoka Rwanda na wataalam wake ni ishara tosha kiongozi wenu aliona ujuzi wenu zero haujafikia wa Wanyarwanda unaowadharau humu. Mimi binafsi ni mtaalam wa kutengeneza software na itaniuma sana nikiskia rais wetu analazimika kutafuta wataalam kwenye nchi jirani kuja kufanya kazi hiyo hapa. Aagize mahindi maana nchi yetu eneo ndogo tu ndio lina rotuba, lakini kuagiza hata vitu vinavyohitaji matumizi ya akili tena kwa kainchi saizi ya mkoa, kainchi jirani hapa, dah lazima nitakesha nikijishangaa wapi nilikosea.
Nakumbuka Watanzania walifungua nyuzi humu wakilalamika sana.
Haya hapa maneno aliyotumia rais “Rwanda is very competent in ICT [information and communications technology] and President Kagame has assured me that he is ready to give ICT experts to assist us in establishing a robust and tamper-proof revenue collection system,” he said.
Taarifa hizi hapa
https://www.thecitizen.co.tz/news/N...curb-theft/1840340-3276866-jchdbyz/index.html