Pundamilia07
JF-Expert Member
- Oct 29, 2007
- 1,439
- 55
pia tukumbuke ..hata mkaona mtu leo anadhalilika baada ya kustaafu na nafasi alikuwa nayo ya kuwa na uwezo halali...mjuwe kama asingeendekeza ulevi na ngono..basi angekuwa mbali.....ngono na ulevi vingekuwa bati na tofali angekuwa na majumba mengi tu.....!!!...siku hizi tujifunze kuchukuwa wanawake kwa mali kauli!!!...wengine ...tumezowea mali kauli na waala hatukosi....
Umenena, kule kwenye thread ya Mzee Mgonja, watu wanamfanyia postmortem marehemu, wanamchanachana ile mbaya, kisa amekufa maskini.
Kamanda Tiba kaza buti, ukistaafu lazima ujue ni jinsi gani utajikimu maisha yako badala ya kuwa ombaomba.