Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
kwa kweli wanajitahidi katika nchi zaidi ya 75 wapo nafasi ya 16 sio habakenya wana wacheza mpira epl, na ligi zingine..
wana basketball players usa...
rugby players ligi kubwa duniani..
riadha ndio usiseme medali kibao...
sisi tumekalia kufuta michezo mashuleni.. hatujui michezo ni ajira
Sisi sijui tunaweza nini 🙁
Kumsema mtu mpaka anazimiaSisi sijui tunaweza nini 🙁
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na umbea pia..Kumsema mtu mpaka anazimia
Yaah hizo tutabeba sana na wala hatuhitaji kuweka camp.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na umbea pia..
Sisi sijui tunaweza nini 🙁
Nafikir utakua na IQ ndogo zaidi.Kwa hiyo tujifunze kukimbia? Watu wanaokimbia wana IQ ndogo imethibitishwa kisayansi!
Kwa hiyo tujifunze kukimbia? Watu wanaokimbia wana IQ ndogo imethibitishwa kisayansi!
Nafikir utakua na IQ ndogo zaidi.
wenzio wanaingiza mamilioni ya dola kwa hizo medali wanazopata. Nenda google kaangalie usain bolt ana utajir wa kiasi gani kwa kazi yake ya kukimbia tu. We baki na tafiti zako za chooni na wanasayansi wenzio uchwara mbaki hivo hivo maskini. Nyerere alisemaga umaskin wa mawazo ni umaskin mkubwa kupitiliza.
Na hapo ndipo sasa IQ inapokuja, wanaingiza mamilioni ya Dola lkn ni ya Usain Bolt au sijui Kipchoge na siyo mamilioni ya Dola ya Kenya au Jamaika, lkn tukiwekeza kwenye Viwanda mabilioni ya Dola yataingia kwa Watanzania wote, hivyo ni bora tujenge Viwanda kuliko kujifunza kukimbia hiyo tuwaachie Wakenya!