Hongera Kenya kwa kuongoza kwa medali kwa nchi za Kiafrika,Ajira sio viwanda pekee tujifunze !

Hongera Kenya kwa kuongoza kwa medali kwa nchi za Kiafrika,Ajira sio viwanda pekee tujifunze !

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
16,879
Reaction score
31,253
upload_2016-8-21_10-42-29.png

upload_2016-8-21_10-48-21.png

Kenya hadi sasa wana Gold 5,silver 6 na bronze 1.
Ni vizuri Watanzania tuanze na tunavyo viweza sisi na kenya tunafanana kwa kila kitu ,ndani ya miaka 10 ijayo tukijitahidi tutajenga viwanda 2 lakini tukiweka mkazo kwenye michezo tutazalisha tutapunguza tatizo la ajira kwa muda
 
Attachments

  • upload_2016-8-21_10-45-35.png
    upload_2016-8-21_10-45-35.png
    9.6 KB · Views: 39
  • upload_2016-8-21_10-47-16.png
    upload_2016-8-21_10-47-16.png
    8.6 KB · Views: 36
kenya wana wacheza mpira epl, na ligi zingine..

wana basketball players usa...

rugby players ligi kubwa duniani..

riadha ndio usiseme medali kibao...

sisi tumekalia kufuta michezo mashuleni.. hatujui michezo ni ajira
 
upload_2016-8-21_11-4-1.png
 
Attachments

  • upload_2016-8-21_11-1-27.png
    upload_2016-8-21_11-1-27.png
    8.3 KB · Views: 36
kenya wana wacheza mpira epl, na ligi zingine..

wana basketball players usa...

rugby players ligi kubwa duniani..

riadha ndio usiseme medali kibao...

sisi tumekalia kufuta michezo mashuleni.. hatujui michezo ni ajira
kwa kweli wanajitahidi katika nchi zaidi ya 75 wapo nafasi ya 16 sio haba
 
  • Thanks
Reactions: BAK
sie tuko bize na ukuta na hewa bado wachezaji hewa.
 
Sie ni kichwa cha mwendawazimu, wamethubutu hata kufuta michezo ya umiseta ambayo miaka ya nyuma ilitoa vipaji vikubwa vilivyovuma Tanzania, Afrika na pia duniani kote.

Sisi sijui tunaweza nini 🙁
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hatuwezi kua sirious wakati bado ccm wanaingilia vyama vya michozo kisa siyo kada
 
Niliposikia serikali ya Kenya imetenga bilioni 23 za maandalizi ya Tokyo 2020 huku sisi tukifuta michezo ya Umisseta, nikajua ni kwa nini sisi tutaendelea kuwa hivi tulivyo hadi Yesu anarudi unless kuwe na mabadiliko makubwa sana kimtazamo
 
Tatizo hakuna ubunifu wa ajira nchini. siyo lazima kusubiri kuajiliwa. kuna fursa nyingi sana duniani zenye kuingiza kipato na kuleta maendeleo nchini
 
umefikia wakat serikali ifanye investment ktk michezo.nigeria wana utaratibu huu kila mwaka serikali inawapeleka wachezaji 40 ktk vilabu tofaut ulaya kwa gharama za nchi,na serikali ndio husimamia kila kitu,yaan kutafuta klabu,hela ya kujikimu mpaka mchezaj apate .sis tumekalia michakato
 
Kwa hiyo tujifunze kukimbia? Watu wanaokimbia wana IQ ndogo imethibitishwa kisayansi!
Nafikir utakua na IQ ndogo zaidi.
wenzio wanaingiza mamilioni ya dola kwa hizo medali wanazopata. Nenda google kaangalie usain bolt ana utajir wa kiasi gani kwa kazi yake ya kukimbia tu. We baki na tafiti zako za chooni na wanasayansi wenzio uchwara mbaki hivo hivo maskini. Nyerere alisemaga umaskin wa mawazo ni umaskin mkubwa kupitiliza.
 
Na hapo ndipo sasa IQ inapokuja, wanaingiza mamilioni ya Dola lkn ni ya Usain Bolt au sijui Kipchoge na siyo mamilioni ya Dola ya Kenya au Jamaika, lkn tukiwekeza kwenye Viwanda mabilioni ya Dola yataingia kwa Watanzania wote, hivyo ni bora tujenge Viwanda kuliko kujifunza kukimbia hiyo tuwaachie Wakenya!
 
You cant be serious!!
 
Back
Top Bottom