Hongera King Crazy GK

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
binafsi napenda kumpongeza huyu kamanda kwa kurudi vyema kwenye gemu na ngoma ya shukrani ila kubwa zaidi nampongeza kuweza kumaintain sauti yake ya kurap tangu miaka ile mpaka leo ipo vilevile. jamaa ni jembe hatari
 
Ungemtumia sms

Acha wivu we mwanamke, unataka tu kuskia habari za Wema na Zari na Sinta. Unafiki,majungu na umbea vitakuua.
Mkuu mtoa mada tunaomba utuwekee huyo wimbo ili na wengine tuweze kutoa maoni yetu.
 
Acha wivu we mwanamke, unataka tu kuskia habari za Wema na Zari na Sinta. Unafiki,majungu na umbea vitakuua.
Mkuu mtoa mada tunaomba utuwekee huyo wimbo ili na wengine tuweze kutoa maoni yetu.

Niliemuambia hajakereka harusi si yako waivalia suti kha!!unafiki,majungu,umbea vitakuua we mwanaume
 
Ni nzuri kwakweli, karudia ile mikato yake ya zamani, hicho ndio kitu kinachotakiwa. Kuna nyimbo alitoa mwakajana nadhan alikuwa anaimba,alinikera.Huu wa sahivi kapatia
 
Lakini c ni wewe unapenda penda sana kuzoea wanaume wa huku JF!!!

Nishakuzoea lini ??au mbona we ndio unaanza mazoea hapa unaniqoute au we hujion unaona wenzio tu,kwa hiyo nikiwazoea nakuzibia riziki au,sema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…