Hongera KING KIBA kwa kukaa katika gemu kwa muda mrefu

Hongera KING KIBA kwa kukaa katika gemu kwa muda mrefu

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
napenda kumpongeza msanii jembe hapa bongo KING KIBA kwa kudumu kwa muda mrefu zaidi na kuendelea kuwakimbiza kina mond na wengineo. Kwa kweli jamaa anatisha sana sauti ipo palepale na anapendwa mpaka na watoto,hana mambo ya kujishaua kama yule mwenzake,wakuu naomba kila moja aje hapa atoe neno la pongezi kwa KING KIBA,
 
Yaani wewe hakuna wasanii wengie unaowajua zaidi ya ALLY K na DIAMOND?
 
mkuu kwani kuna msanii mwingine zaidi ya K 4 REAL?

ahahahahaaa!!yaani dogo mi unanifurahisha wewe na mahaba yako kwa kiba!.fanya tu mpango aisee ally k akuone na mpige story mbili tatu nadhani utatulia.
 
dah umenifanya nikuonee huruma..siku patii picha naisi kama uko peke yako ivi mpweke.alaf watu wametinga nyeupeee kama wanaenda peponi..hahaha
 
Tupo ndani ya Mlimani City tumejaa kama tumeingia bure, vipi huna hela uje uzomee ?????
 
napenda kumpongeza msanii jembe hapa bongo KING KIBA kwa kudumu kwa muda mrefu zaidi na kuendelea kuwakimbiza kina mond na wengineo. Kwa kweli jamaa anatisha sana sauti ipo palepale na anapendwa mpaka na watoto,hana mambo ya kujishaua kama yule mwenzake,wakuu naomba kila moja aje hapa atoe neno la pongezi kwa KING KIBA,

Talk of the town ni mond na zari, k 4 hell......
 
hata ndugu zako wamekudharau.... Fcuk.
 
Njoo zari whte pat wew acha uzezeta
 
Mwl Evelyn Salt kwanini umekwenda kwenye party peke yako na umemuacha mwana funzi wako Sakafu....? Teh Teh
 
Last edited by a moderator:
Sakafu Sakafu nahisi upo mlimani city na ni mmoja wa wale mliotumiwa Limo na Diamond ziwafikishe kwenye sherehe
 
Back
Top Bottom