bongo raha sana mke akikuzingua unamtupia kibegi chake nje unamnasa vibao mchezo umekwisha anaenda kuuza vitumbua na hakuana wa kukufanya kitu,marekanai ni pasi kwa pasu kama kitanda kimoja unachukuliwa msumeno kinakatwa kati kwa kati,muulize tiger woods kilichomkuta kule mbwa na mwanamke wanalindwa na sheria kali mwanamme kule hana ujanja akizinguliwa na mkewe anapiga ngumi ukutani na kuvunja tv badala ya kumnasa vibao mwanamke wake wa kichagasijui wanaitaga kastodi sijui ingemfilisi kashtukia mchezo mapema
Alimkubali baada ya DNA,na Uku marekani sio ombi kumkubali mtoto ni lazima na unakatwa pesa kila mwezi na kupewa mama wa mtoto inaitwa child support
sijui wanaitaga kastodi sijui ingemfilisi kashtukia mchezo mapema
asante Tyta kwa ufafanuzi nilikuwa nachanganya haya makitusi custody,ni child support.....custody ni haki anayopewa mtu(huitaka mwenyewe si kwa kushurutishwa) kisheria kumlea na kumtunza mtoto yeye mwenyewe/ktk himaya yake....child support-hizi ni gharama za matunzo kwa mtoto anayopaswa kupewa na mzazi wake atake/asitake na mara nyingi mzazi anakuwa haishi na mtoto ila ndio hivyo sheria ishasema lazima mzazi afanye hivyo..