Hongera kwa Chris Brown kumkubali mtoto wake na baby mama

Hongera kwa Chris Brown kumkubali mtoto wake na baby mama

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Hivi inakuaje binadamu anamkataa mtoto wake?.Chris brown amechanganyikiwa kabisa tangia ajue mtoto ni wake.
Amemuomba huyo mama wa mtoto ahaime ili aweze muona mwanae.

Sasa Kama wewe umo humu Jamii forum na unajua humuhudumii mwanao ujue sio vizuri.Mfuate mfano wa Cris brown aliotumia na nyie kaka zangu.
 
Mmmmhhhhhhh life style ni tofauti kwa mbele na bongo..! Mtoa mada
 
Alimkubali baada ya DNA,na Uku marekani sio ombi kumkubali mtoto ni lazima na unakatwa pesa kila mwezi na kupewa mama wa mtoto inaitwa child support
 
sijui wanaitaga kastodi sijui ingemfilisi kashtukia mchezo mapema
bongo raha sana mke akikuzingua unamtupia kibegi chake nje unamnasa vibao mchezo umekwisha anaenda kuuza vitumbua na hakuana wa kukufanya kitu,marekanai ni pasi kwa pasu kama kitanda kimoja unachukuliwa msumeno kinakatwa kati kwa kati,muulize tiger woods kilichomkuta kule mbwa na mwanamke wanalindwa na sheria kali mwanamme kule hana ujanja akizinguliwa na mkewe anapiga ngumi ukutani na kuvunja tv badala ya kumnasa vibao mwanamke wake wa kichaga
 
Akina chriss brown bongo tunao wengi sana. Hivi una aanzaje kuikimbia damu yako?
Mizimu ya hawa watoto mnaowakimbia iwafuate popote muendako.... name isiwape amani pamoja na familia zenu.
 
sijui wanaitaga kastodi sijui ingemfilisi kashtukia mchezo mapema

si custody,ni child support.....custody ni haki anayopewa mtu(huitaka mwenyewe si kwa kushurutishwa) kisheria kumlea na kumtunza mtoto yeye mwenyewe/ktk himaya yake....child support-hizi ni gharama za matunzo kwa mtoto anayopaswa kupewa na mzazi wake atake/asitake na mara nyingi mzazi anakuwa haishi na mtoto ila ndio hivyo sheria ishasema lazima mzazi afanye hivyo..
 
asante Tyta kwa ufafanuzi nilikuwa nachanganya haya makitu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom