Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Mkuu tofautisha Minaji na Ommy wapo dunia mbili tofauti.Haya masihara haya. Nicky Minaji kapost Official video ya ngoma yake ya kuitwa "Chun Lee" huko VEVO, hata 24 hours bado ishagonga 12M views.
Sasa Unafananisha muziki wa Marekani na Bongo fleva..utakuwa hauko timamu kichwani!Haya masihara haya. Nicky Minaji kapost Official video ya ngoma yake ya kuitwa "Chun Lee" huko VEVO, hata 24 hours bado ishagonga 12M views.
Sasa Unafananisha muziki wa Marekani na Bongo fleva..utakuwa hauko timamu kichwani!