Hongera kwa Ommy Dimpoz, ngoma yake yafikisha 1M views

Hongera kwa Ommy Dimpoz, ngoma yake yafikisha 1M views

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Screenshot_20180506-132853.png
Baada ya miezi saba tangu aachie ngoma yake ya Cheche,hatimae wimbo huo umefikisha views Milioni moja jana.

Hongera nyingi kwa msanii Omary Nyembo...sasa ni kazi moja tu kwenye ngoma yake mpya Yanje tumuunge mkono kuicheck na kusubscribe kwenye youtube acc yake.
 
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
duh,kwa hiyo Kiba ili aachie dude lake inabdi tusubiri miezi 21? maana kama 1m views ni kila baada ya miezi 7 ni wazi 3m views itamchukua miezi 21 ili dude la Kiba liachiwe hewani....hii ni kwa mujibu wa ahadi ya Kingkiba mwenyewe. kwamba ngoma ya "yanje" ikifikisha 3m views anaachia kitu...bt we r still waiting
 
Haya masihara haya. Nicky Minaji kapost Official video ya ngoma yake ya kuitwa "Chun Lee" huko VEVO, hata 24 hours bado ishagonga 12M views.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee nlizani i mpya ndo ime fikisha 1ml kumbe ileeeeeeee
 
Haya masihara haya. Nicky Minaji kapost Official video ya ngoma yake ya kuitwa "Chun Lee" huko VEVO, hata 24 hours bado ishagonga 12M views.
Mkuu tofautisha Minaji na Ommy wapo dunia mbili tofauti.
Jiulize Tz inaingia Mara ngapi kwa marekani na idadi ya watu wake.
Kawaida viewers wa ulipotoka ndio huwa wanasapoti zaidi kuliko nje ya nyumbani.
 
Daah nikadhan ni ule wa 3milion, ikawa bado 2mil baba harusi nae adondoshe vichupa
 
Haya masihara haya. Nicky Minaji kapost Official video ya ngoma yake ya kuitwa "Chun Lee" huko VEVO, hata 24 hours bado ishagonga 12M views.
Sasa Unafananisha muziki wa Marekani na Bongo fleva..utakuwa hauko timamu kichwani!
 
hahahaha,,... si bora anunue viewers kama wenzie? such a failure
 
Back
Top Bottom