Hongera kwa Rais Samia katika kuitekekeza sera ya kutofungamana na Taifa lolote

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Tanzania ilijitanabaisha hapo awali na kipindi cha muasisi wetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwamba tutakuwa ni nchi isiyofungamana na upande wowote yaani NON ALINGNMENT MOVEMENT.
Mwalimu Nyerere na washauri wake wa kipindi hiko aliona mbali na Mungu ambariki na hatimaye tutamtangaza kama mtakatifu siku moja!!

Leo hii Rais Samia anaendeleza kwa vitendo maono ya Mwalimu Nyerere ya kwamba Tanzania ni nchi isiyofungamana na yoyote.yaani kila mmoja duniani ni rafiki yetu iwapo atatusaidia na kuwa mkarimu kwetu na kwa watu wa Afrika.
Bila shaka matendo ya Serikali yetu katika hili hayawezi kuwafurahisha wote na hususani wenye uroho wa rasilimali zetu na majirani zetu.

kupitia sera yetu hii muhimu na ya urithi kutoka kwa muasisi wa Taifa letu Mwalimu Julius K Nyerere ni wazi lazima tutapitia majaribio hatari ya kutuondoa kwenye msimamo huu thabiti lakini wenye tija kwa taifa.

Kwa vyovyote iwavyo lazima mataifa makubwa ikiwemo USA,RUSSIA,FRANCE,UK,INDIA,UAE,CHINA na INDIA n.k yatakuja na mbinu zote za kuitaka hatamu ya TANZANIA ili kukukuza uchumi wao.

Ndio maana Mwalimu alisimama na sera ya kutofungamana na yoyote!!

Leo hii tuko katikati ya mvutano wa wakubwa na kila mmoja atatumia mbinu yoyote ile ili tuwe naye....

Sisi kama Tanzania turudi kwenye maono ,msimamo na sera aliyotuachia the late Mwalimu Nyerere.

Je kwa sasa ni yupi rafiki mwenye maslahi ya kimaendeleo?yupi ni rafiki mwenye mwenendo wa kibeberu?Yupi ni rafiki anayelinda kwa dhati UHURU WETU KAMILI?

Tukimtambua rafiki wa kweli kwa
muda huu lazima tushikamane naye!vivyo hivyo tukimtambua adui wa muda huu lazima achakazwe kisawasawa!!

Uwepo wetu kama Taifa la Tanzania unategemeana sana na sera muhimu iliyochaguliwa na Waasisi wa Taifa hili...yaani hatuna rafiki wa kuegemea asiyetulinda kwenye maslahi ya USTAWI WA TAIFA.

Tuendelee kubadilisha rafiki kadri tunavyoona inafaa na dunia nzima ijue hivyo.

Hongera Sana Rais Samia kwa kusimama na kujitoa mhanga kwenye hili.bila shaka msimamo huu ni hatari kwako lakini Mungu ndiye aliyekupa kikombe hiki ukinywee kwa sasa na ndiye atakayekulinda kwa namna zote.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
COPY N SHARE TO THE NEW GENERATIONS!
 
China yenyewe wanashirikiana na Marekani, sijui unaongea utumbo gani
 
Ungetuliza kichwa kwanza kabla ya kuja kwenye thread hii..wapi nimesema Tanzania haina ushirikiano?
 
kama wewe ni GEN Z na haujasoma chuo cha maana tafadhali usikanyage kwenye mjadala huu
 
Tanzania ilijitanabaisha hapo awali na kipindi cha muasisi wetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwamba tutakuwa ni nchi isiyofungamana na upande wowote yaani NON ALINGNMENT MOVEMENT.
Mwalimu Nyerere na washauri wake wa kipindi hiko aliona mbali na Mungu ambariki na hatimaye tutamtangaza kama mtakatifu siku moja!!

Leo hii Rais Samia anaendeleza kwa vitendo maono ya Mwalimu Nyerere ya kwamba Tanzania ni nchi isiyofungamana na yoyote.yaani kila mmoja duniani ni rafiki yetu iwapo atatusaidia na kuwa mkarimu kwetu na kwa watu wa Afrika.
Bila shaka matendo ya Serikali yetu katika hili hayawezi kuwafurahisha wote na hususani wenye uroho wa rasilimali zetu na majirani zetu.

kupitia sera yetu hii muhimu na ya urithi kutoka kwa muasisi wa Taifa letu Mwalimu Julius K Nyerere ni wazi lazima tutapitia majaribio hatari ya kutuondoa kwenye msimamo huu thabiti lakini wenye tija kwa taifa.

Kwa vyovyote iwavyo lazima mataifa makubwa ikiwemo USA,RUSSIA,FRANCE,UK,INDIA,UAE na INDIA n.k yatakuja na mbinu zote za kuitaka hatamu ya TANZANIA ili kukukuza uchumi wao.

Ndio maana Mwalimu alisimama na sera ya kutofungamana na yoyote!!

Leo hii tuko katikati ya mvutano wa wakubwa na kila mmoja atatumia mbinu yoyote ile ili tuwe naye....

Sisi kama Tanzania turudi kwenye maono ,msimamo na sera aliyotuachia the late Mwalimu Nyerere.

Je kwa sasa ni yupi rafiki mwenye maslahi ya kimaendeleo?yupi ni rafiki mwenye mwenendo wa kibeberu?Yupi ni rafiki anayelinda kwa dhati UHURU WETU KAMILI?

Tukimtambua rafiki wa kweli kwa
muda huu lazima tushikamane naye!vivyo hivyo tukimtambua adui wa muda huu lazima achakazwe kisawasawa!!

Uwepo wetu kama Taifa la Tanzania unategemeana sana na sera muhimu iliyochaguliwa na Waasisi wa Taifa hili...yaani hatuna rafiki wa kuegemea asiyetulinda kwenye maslahi ya USTAWI WA TAIFA.

Tuendelee kubadilisha rafiki kadri tunavyoona inafaa na dunia nzima ijue hivyo.

Hongera Sana Rais Samia kwa kusimama na kujitoa mhanga kwenye hili.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Maisha bila kufanya uchawa yanawezekana. Hutakufa njaa!
 
Moderator hapo kwenye title naomba kuweka marekebisho isomeke kuitekeleza
 
hii ni forum ya kusema kweli na kweli tupu.
njooni tubishane kwa hoja
 
Tanzania ilijitanabaisha hapo awali na kipindi cha muasisi wetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwamba tutakuwa ni nchi isiyofungamana na upande wowote yaani NON ALINGNMENT MOVEMENT.
Mwalimu Nyerere na washauri wake wa kipindi hiko aliona mbali na Mungu ambariki na hatimaye tutamtangaza kama mtakatifu siku moja!!

Leo hii Rais Samia anaendeleza kwa vitendo maono ya Mwalimu Nyerere ya kwamba Tanzania ni nchi isiyofungamana na yoyote.yaani kila mmoja duniani ni rafiki yetu iwapo atatusaidia na kuwa mkarimu kwetu na kwa watu wa Afrika.
Bila shaka matendo ya Serikali yetu katika hili hayawezi kuwafurahisha wote na hususani wenye uroho wa rasilimali zetu na majirani zetu.

kupitia sera yetu hii muhimu na ya urithi kutoka kwa muasisi wa Taifa letu Mwalimu Julius K Nyerere ni wazi lazima tutapitia majaribio hatari ya kutuondoa kwenye msimamo huu thabiti lakini wenye tija kwa taifa.

Kwa vyovyote iwavyo lazima mataifa makubwa ikiwemo USA,RUSSIA,FRANCE,UK,INDIA,UAE,CHINA na INDIA n.k yatakuja na mbinu zote za kuitaka hatamu ya TANZANIA ili kukukuza uchumi wao.

Ndio maana Mwalimu alisimama na sera ya kutofungamana na yoyote!!

Leo hii tuko katikati ya mvutano wa wakubwa na kila mmoja atatumia mbinu yoyote ile ili tuwe naye....

Sisi kama Tanzania turudi kwenye maono ,msimamo na sera aliyotuachia the late Mwalimu Nyerere.

Je kwa sasa ni yupi rafiki mwenye maslahi ya kimaendeleo?yupi ni rafiki mwenye mwenendo wa kibeberu?Yupi ni rafiki anayelinda kwa dhati UHURU WETU KAMILI?

Tukimtambua rafiki wa kweli kwa
muda huu lazima tushikamane naye!vivyo hivyo tukimtambua adui wa muda huu lazima achakazwe kisawasawa!!

Uwepo wetu kama Taifa la Tanzania unategemeana sana na sera muhimu iliyochaguliwa na Waasisi wa Taifa hili...yaani hatuna rafiki wa kuegemea asiyetulinda kwenye maslahi ya USTAWI WA TAIFA.

Tuendelee kubadilisha rafiki kadri tunavyoona inafaa na dunia nzima ijue hivyo.

Hongera Sana Rais Samia kwa kusimama na kujitoa mhanga kwenye hili.bila shaka msimamo huu ni hatari kwako lakini Mungu ndiye aliyekupa kikombe hiki ukinywee kwa sasa na ndiye atakayekulinda kwa namna zote.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Mungu sio mjomba wako kwamba atamlinda Muuwaji.
 
hii ni forum ya kusema kweli na kweli tupu.
njooni tubishane kwa
 
Mungu hamlindi mnafiki au mhalifu
Mnafiki wa kwanza ukiwa ni wewe mwenyewe. Kikombe cha damu alichokinywea Idd Amin Mama hakitamuepuka, hata mumpambe vipi, tayari ananuka damu za maelfu ya watanganyika. Hizo damu zitamlilia maisha yake yote na vizazi vyake vyote.
 
Serikali huwa hailaaniwi brother...get a life.jadili hoja.kwa hiyo mbinu mnayotumia ni ile ile mliyotimia kwa
Idd Amini
Saddam
Magufuli n.k ?
 
Back
Top Bottom