astrologist
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 221
- 268
HahahaaaaKweli maisha yanaenda kasi sana yaani PSG inaonekana kigogo mbele ya Man Utd?! Ferguson asingevumilia huu uzembe.
Uyu kashaanza tena na walemavu wakeMan Untd anachukua kombe kiulaini kabisaa
haijawahi kutokeaArsenal msituangushe