Hongera kwa timu za Liverpool, Manchester utd na Spur kutoka EPL.

Hongera kwa timu za Liverpool, Manchester utd na Spur kutoka EPL.

astrologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
221
Reaction score
268
Big up kwa timu tajwa hapo juu kwa kufuzu kuingia robo finali, kwani timu hizi zimewatoa vigogo wakiwa hawaamini kama walikuwa na vigogo wenzao, mfano UTD hawakupewa nafasi ya kuitoa PSG, Liverpool waliibeza dhidi ya Munich, lakini Munich kafia kwake jana. Pia Spur alimtoa Borussia Dortmund.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hapo aliyekuwa anapewa shaka ni liver kutokana na erekodi ya kupoteza Away

Ila PSG huwa hafiki robo inajulikana
BORRUSSIA hana rekodi ya kuchukua points 6 zote kwa TOT toka hakina bale walipokuwepo
Yaani uwezo ni mkubwa
.
Mancity SAFI SANA
CHELSEA NA ARSENAL nao wamefanya vyema kukimbiza ligi ya Malikia kuwa juu
 
Back
Top Bottom