Hongera kwa UAE na Saudi Arabia kukataa kuwezesha ujengaji mpya wa gaza hadi hapo hamas watakaposhusha silaha zao na kutoweka.

Hongera kwa UAE na Saudi Arabia kukataa kuwezesha ujengaji mpya wa gaza hadi hapo hamas watakaposhusha silaha zao na kutoweka.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Baada ya kuwa qatar na turkey wanamchekea chekea hamas kwa unafiki wao wa kuwatakia mema wana gaza kumbe wanafurahia ya hamas kufanya taharuki, wenyewe uae na saudi arabia wamekataa ujinga huo.

Kumbuka UAE, chama cha kigaidi cha Muslim brotherhood kimepigwa marufuku ila Qatar ndio makazi yao.


Screenshot_20251019-163859.png
 
Back
Top Bottom