hongera kwa wababa wote wa JF

wanaume hawana ishu kazi kwao ni ku beep, kubum pesa na kuosha face tu mijini ,..... poleni wa kiume kwa kupakwa mafuta na chupa...
 
Dah!!! Mimi sio mume wa mtu sasa sijui lini nitakuwa mume wa mtu lakini chauro all in all thanks for this useful post

acha kuchukua zoezi kabisa hadi ukifikia hatua ya kuitwa "mume wangu" unakuwa tayari una A+.
 
mh na wewe umetokea wapi tena unataka kusema wanaume kazi yao ni hiyo tu embu kwenye hongera mpe mwenzako na yeye ajisikie kuna jambo anafanya bwana hujui inampa nguvu mpya lol

wanaume hawana ishu kazi kwao ni ku beep, kubum pesa na kuosha face tu mijini ,..... poleni wa kiume kwa kupakwa mafuta na chupa...
 
Mfamaji mpaka nimeandika hapa nimetazama vitu vingi pamoja na furaha na magumu lakini lazima tukubali kusema asante hata mara moja kwa mwaka hizi familia tungeziendesha wenyewe ingekuwaje lazima tukubali kuna mchango mkubwa wakina baba ndani yake najua hubby ananisoma asante sana

 
hahaa umenifurahisha mike watu wanapongezana kwa kumaliza mwaka mwaya si unajua wanasheria zao lazima zitatumika vema sikukuu njema

na kufumaniana iwe mwiko sikukuu hii!
 
asante PJ

 
Mimi kwa niaba ya wanaume zenu nakushukuruni kwa kutambua michango yetu. Mwaka ujao tutazidisha mapenzi kwenye familia zetu na kupunguza muda kuchangia jf hususani kwenye thread ambazo hazi add value katika maisha ya Watz
 
mh na wewe umetokea wapi tena unataka kusema wanaume kazi yao ni hiyo tu embu kwenye hongera mpe mwenzako na yeye ajisikie kuna jambo anafanya bwana hujui inampa nguvu mpya lol

Nguvu mpya ya unyanyasaji au ...... we vip we unajifanya hujui jinsi wanawake wanavyonyanyasika huko majumbani na hadi kufikia hatua ya kukata tamaa ya maisha kabisa au unajifanya hujui watoto wanavyotelekezwa na wa mama huko vijijiniwakati wa baba wakiongoza kwa starehe mijini, leo kwa sound ya mitetemo unasema we should thanks wa baba,
badilika na kama we ni wa kike unatakiwa utambie haki zak za kuishi.
 
Nawaombea kwa Mwenyenzi Mungu awape nguvu na mafanikio katika yale yote mnayofanya kwa ujenzi wa familia tuanze mwaka wa mafanikio tele kila la heri

"....amin, rabbil laalamin. inshallah Mola aikubali dua yako kwangu". Endelea na moyo huo huo wa kuwa mkarimu, mola atakulipa mbadala inshallah.
 
hapa niko kuwapongeza zaidi sio kuangalia mabaya yao sababu hata kina mama tuna mabaya na mazuri tunayofanya na sio kila wakati kuweka mawazo yetu kwenye negative lazima tujifunze kuwa na positive thoughts
 
Tunashuru saana kwa kulifahamu hilo nazani wengine woote wataiga kutoka kwako


thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…