hongera kwa wababa wote wa JF

hongera kwa wababa wote wa JF

naona ile thread nyingine imeondolewa .. ile ukiwa mwanaume kwa 24hrs ...lol

We are getting.......................Closer...closer!.

Well well....
Hapa nafanya MAGAZIJUTO tu....
(
avatar24628_4.gif
+
avatar29954_6.gif
)=😛arty:
 
wanaume hawana ishu kazi kwao ni ku beep, kubum pesa na kuosha face tu mijini ,..... poleni wa kiume kwa kupakwa mafuta na chupa...
 
Dah!!! Mimi sio mume wa mtu sasa sijui lini nitakuwa mume wa mtu lakini chauro all in all thanks for this useful post

acha kuchukua zoezi kabisa hadi ukifikia hatua ya kuitwa "mume wangu" unakuwa tayari una A+.
 
mh na wewe umetokea wapi tena unataka kusema wanaume kazi yao ni hiyo tu embu kwenye hongera mpe mwenzako na yeye ajisikie kuna jambo anafanya bwana hujui inampa nguvu mpya lol

wanaume hawana ishu kazi kwao ni ku beep, kubum pesa na kuosha face tu mijini ,..... poleni wa kiume kwa kupakwa mafuta na chupa...
 
Mfamaji mpaka nimeandika hapa nimetazama vitu vingi pamoja na furaha na magumu lakini lazima tukubali kusema asante hata mara moja kwa mwaka hizi familia tungeziendesha wenyewe ingekuwaje lazima tukubali kuna mchango mkubwa wakina baba ndani yake najua hubby ananisoma asante sana

I always wonder if men can be praised and be thanked by their women cause I have never experienced the same since I tied up the knot with the one I have . Before I got into the life time prisons I used to get a lot of them even in the midnight.

But since you come out live to thank all of us for what we have done to u people , let me be part of recipient with one word;

We love women but they do not know that. We shed our bloods and die almost from nothing but stress ,fear of bankruptcy and their infidelity mostly silently but yet they ca,nt see it . Sasa ni mapenzi gani zaidi ya kumpenda mtu hadi kufa kwa ajili yake ? Kwa kweli mnastahili kutupongeza kwa kumaliza hata kamwaka kamoja tena .Chauro ahsante mwaya, Aika mae/ keku , ashe na le, thank you, merci beacoup .
 
hahaa umenifurahisha mike watu wanapongezana kwa kumaliza mwaka mwaya si unajua wanasheria zao lazima zitatumika vema sikukuu njema

na kufumaniana iwe mwiko sikukuu hii!
 
asante PJ

Chauro,
Watu wasione kama ni wewe umekosea, bali ni keyboard yako kwa bahati mbaya haina nukta, wala mkato, na ndiyo iliyosababisha hali hiyo kwenye bandiko lako.

Mdogo wangu Chauro, tunapokea hongera zako kwa MTIMA mnyoofu kabisa...ni mara chache sana watu huthubutu kukumbuka kushukuru, na wewe ni mmoja wao kwa leo.
Nasi tunarudisha shukrani kwako, uwe na amani tele!
 
Mimi kwa niaba ya wanaume zenu nakushukuruni kwa kutambua michango yetu. Mwaka ujao tutazidisha mapenzi kwenye familia zetu na kupunguza muda kuchangia jf hususani kwenye thread ambazo hazi add value katika maisha ya Watz
 
mh na wewe umetokea wapi tena unataka kusema wanaume kazi yao ni hiyo tu embu kwenye hongera mpe mwenzako na yeye ajisikie kuna jambo anafanya bwana hujui inampa nguvu mpya lol

Nguvu mpya ya unyanyasaji au ...... we vip we unajifanya hujui jinsi wanawake wanavyonyanyasika huko majumbani na hadi kufikia hatua ya kukata tamaa ya maisha kabisa au unajifanya hujui watoto wanavyotelekezwa na wa mama huko vijijiniwakati wa baba wakiongoza kwa starehe mijini, leo kwa sound ya mitetemo unasema we should thanks wa baba,
badilika na kama we ni wa kike unatakiwa utambie haki zak za kuishi.
 
Nawaombea kwa Mwenyenzi Mungu awape nguvu na mafanikio katika yale yote mnayofanya kwa ujenzi wa familia tuanze mwaka wa mafanikio tele kila la heri

"....amin, rabbil laalamin. inshallah Mola aikubali dua yako kwangu". Endelea na moyo huo huo wa kuwa mkarimu, mola atakulipa mbadala inshallah.
 
hapa niko kuwapongeza zaidi sio kuangalia mabaya yao sababu hata kina mama tuna mabaya na mazuri tunayofanya na sio kila wakati kuweka mawazo yetu kwenye negative lazima tujifunze kuwa na positive thoughts
Nguvu mpya ya unyanyasaji au ...... we viphh we unajifanya hujui jinsi wanawake wanavyonyanyasika huko majumbani na hadi kufikia hatua ya kukata tamaa ya maisha kabisa au unajifanya hujui watoto wanavyotelekezwa na wa mama huko vijijiniwakati wa baba wakiongoza kwa starehe mijini, leo kwa sound ya mitetemo unasema we should thanks wa baba,
badilika na kama we ni wa kike unatakiwa utambie haki zak za kuishi.
 
Tunashuru saana kwa kulifahamu hilo nazani wengine woote wataiga kutoka kwako


thanks
 
Back
Top Bottom