hongera kwa wababa wote wa JF

hongera kwa wababa wote wa JF

Haya usisahau kuja na triple sec, light rum, gin, vodka, tequila, sour mix, cola na lemon wedge for garnish

hahahahahahahah lol i can c u know how to make ur long island ice t....lol
mmmhhhh kwa kweli usijali hayo yameshatimizwa lol
 
hahahahahahahah lol i can c u know how to make ur long island ice t....lol
mmmhhhh kwa kweli usijali hayo yameshatimizwa lol

Ooops nilisahau na ice cubes lakini crushed ones, sioni dalili za mtu kuamka asubuhi mapema glasi mbili balaa
 
afrodenzi vipi aisee?!
mbona jamaa wa DHL hawaniletei ile kitu?
heheh kamanda hii kitu kumbe inaweza kutumwa kwa DHL? acha niwasiliane na mrembo flani anga za brazil anitumie kwa DHL.
 
Ooops nilisahau na ice cubes lakini crushed ones, sioni dalili za mtu kuamka asubuhi mapema glasi mbili balaa

hahahahahah lol
usijali kabisa nitaleta na poker set...
na glass za shots ..
hakuna kulala mpaka kieleweke lol..
hahahahahh lol
 
Itakuwa imepelekwa jukwaa lile la kulee

mmmhhh bwana wanatubania sana..

nway kwenye ile thread nilikuuliza mama mwenye nyumba yuko wapi??
au kashafunga harusi na BE?
halafu sisi ndo tumeachwa gizani...
 
mmmhhh bwana wanatubania sana..

nway kwenye ile thread nilikuuliza mama mwenye nyumba yuko wapi??
au kashafunga harusi na BE?
halafu sisi ndo tumeachwa gizani...

Mama mwenye nyuma mbona yuko huku hakukuaaga nini?? Amekuja jumamosi
 
mambo vp afro mwana wa denzi?

mambo poa tu ... naona hawa watu wako bado unawatandika Klorokwini ile mbaya..
maana hawapunguzi mwendo tangu niwaone hahahahah lol

vipi maandalizi ya x-mass yanaendeleaje???
 
mambo poa tu ... naona hawa watu wako bado unawatandika Klorokwini ile mbaya..
maana hawapunguzi mwendo tangu niwaone hahahahah lol

vipi maandalizi ya x-mass yanaendeleaje???
hehehe wanatumia betri za duracell hao mazeruzeru, hawachoki. wameomba likizo januari wanataka kwenda kupiga kura nchini kwao shekoslovakia.

hapa ni raha raha tupu. kitu na box.
 
Back
Top Bottom