Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

Waeleweshe Komwe
Hawa ni sikio la kufa kama yule mwenzao wa kansa.

Wakawaulize bibi zao chumvi ina kazi gani wataambiwa kinagaubaga.

Kamtu kamesoma shule ya kata kameishia FOM FOO kanajifanya kasomi uchwara, atii ooohh chumvi ni uchawi! Like serious, ati chumvi ni uchawii!!! 😲

Chumvi ni utakaso, inaondoa mauchafu yote ya kichawii na ya kiroho. Unakuwa msafi haswaa ndio maana hela zinatiririkaaa kama maji zinakufuata.

Hizo shule za kata zimulikwe, zinatengeneza mazuzu wanaodhani wao ni wasomi. FOM FOO uchwaraa.
 
Zamani sisi tukiwa wadogo, ukipata mapele na matetekuwanga unaogeshwa kwa chumvi ya mawe na magadi, mapele yote yanaisha.

Hawa wasomi uchwara wa FOM FOO ya shule ya kata watanieleza nini mimi bwana! Dejane

MADIVISHENI ZIRO, ulimwengu uko huku, wao wako kule.
 
Zero kabisa
Waulize hata waroman yale maji ya baraka wameweka chumvi ya mawe
 
Yaan mim Chumvi ya mawe na kumanifest huniambii kitu aisee matokeo nimeyaona makubwa sana
Hata ile ishu nilikusimulia huwezi amin vitu vimegeuka kuwa habari nzuri
Ngona nikuje pm
 
Mkuu hiv haya mambo ni kwel lakin??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…