Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Biashara ni imani tu, unaweza ukawa neutral na hurogi na ukafanikiwa freshi tu japo haitakuwa kwa big boom ila itakuwa through natural ways.biashara inahitaji kitu cha ziada either usali sana au uroge sana kama huwezi kati ya hivyo vitu viwili usifanye biashara
Kibaya ni kwamba kwa bongo ukiwa neutral unapata upinzani kutoka kwa wenzio waliokuzunguka ambao watakuwa wanatumia hizo njia za giza. So inakubidi kujitakasa wewe binafsi ndio unatumia strategies kama hizo chumvi ya mawe ambayo ni njia ya asili ya kuua zile negative forces zilizoelekezwa kukudhoofisha.
Wengine wanatumia mafuta ya mzaituni ambayo ndio yale mnapewa na Mwamposa kama annointed oil.