Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

Mkuu jamaa hapo katumia hio chumvi katika biashara zake. Huu ni ushuhuda wake.

Hujasoma shuhuda za watu wengine.

Ukajua na conclusion based on a single testimony.

Mimi nimetumia hio chumvi kuogea hasa usiku huwa nalala usingizi mzuri sana usio na ndoto za ajabu ajabu.

So Kila mtu imemsaidia kwa jambo lake.
Hajajua nini kimempa mafanikio
 
Ukiwa unafanya harakati Sana (movement) Ila haupigi hatua (progress) unabidi kujitathimini upande Wa spiritual Kwa kuondoa negative energy na huu sio uchawi

Chumvi ya mawe ni Kama sabuni Kazi kubwa ni kujisafisha na kupata reborn nakufungua chakra
Sasa mtu hajui kuhusu uwepo wa negative energy anachokijua yeye ni laana tu basi sasa unadhani ataelewa kuhusu chumvi ya mawe?
 
Hajajua nini kimempa mafanikio
Unaweza komaa na ukufuata Kila kitu Kila njia na usitoboe kwenye mbishe zako.

Mpaka hapo utajiuliza tatizo ni Nini!?

Kuna mambo Yako nje ya uwezo wako wa kibinadamu. Nguvu hasi.

Ndipo Sasa Chumvi inaingia.

Newtown third laww of motion

"For every action there is equal and opposite reaction"

Chumvi Iko for reaction Sasa sio Action[emoji1787]
 
Na maji ya baraka hawasemi ni ushirikina.

Mafuta ya mwamposa na manabii hawasemi ni ushirikina.

Mafuta na dawa za kisunna hawasemi ni ushirikina.

Mizizi na mitishamba je!?.

It's all about perception.
Yani ukichukua mizizi ukanywa ukatibu tumbo huambiwi ni ushirikina ila mizizi hiyo hiyo ukitibu tatizo la kiroho utaambiwa ni ushirikina, imekuwa rahisi sana kusema kitu fulani ni ushirikina.
 
Na sisi tunaooga maji ya visima yenye chumvi kila siku na bado tuna mamikosi kama yote unatuambia nini mkuu?
Una uhakika gani kama una mikosi tu na si matatizo zaidi kama mauchawi huko? Lakini pia kuna watu wana mikosi sugu.
 
Nimekuwa nikifanya biashara na udalali kwa shida sana hadi siku nimeanza kutumia chumvi ya mawe sisemi ni dawa ila imani huponya

CHUMVI imesaidia kunipa kipato cha 200k kwa week i

Imenisaidia duka langu naona hela sasa sio kama zamani

Imenisaidia kupunguza na kumaliza madeni korofi

Imenisaidia kufanya biashara na watu niliokuwa nimegombana nao kiasi cha kutosemeshana

Matumizi
Nunua chumvi ya mawe sokoni hata ya 500 tu, weka kijiko kimoja kwenye maji ya kuoga ogea asubuhi na jioni hadi utakapoona mambo yamekubali
Unaongea Hadi KICHWANI?
 
Imani potofu mbaya sana
Unajua hata hii mitishamba ambayo waafrika hutumia katika kutibu maradhi wengine huwa wanachukulia ni imani potofu pia, wao wanaona tiba hupatikana hospitali au kwa madawa ya kizungu tu ila mitishamba ndio dawa walizotumia wazee wetu na ndipo hutumika pia hata kwenye kwenye kutengenezea madawa ya kizungu.
 
watu wa JF sio wa.kuwapa siri kama hizi kwa sababu asilimia kubwa hawako serious.

watakutukana na watakukejeli.

ukitaka kuona manufaa ya chumvi ya.mawe, itumie na Muosha fedha!

weka manuizi yako kabla hujaoga.

usiiogee na sabuni, Oga kwanza kawaida kisha oga mchanganyiko wa chumvi ya mawe na Muosha FedhaView attachment 2895938
huo hapa mjani wa Muosha Fedha

Popoa hayo majani, kisha anika Juani mpaka yakauke. kama una access na kinu kidogo basi Twanga kisha anika
View attachment 2895939

Baada ya kutwanga na kuanika.
Muosha Fedha ni dawa ya Presha, mikosi nuksi vijicho MVUTO wa biashara wanawake e.t.c
Haya majani nitayapata wapi huku daslam mkuu una acces nayo unifanyie mpango niyapate??
 
Watu kama wewe unakuta hujawahi kuuza hata pipi. Ndugu yangu, ukishasikia biashara, ujue ni vita. Tena ni vita kubwa. Hayo mambo ya kuboresha sijui nini ni ziada tu. The real battle is fought in a very different way. Kama ukitaka kuwa mfanya biashara na hutaki kuipigana vita hii, biashara yako haitoboi miaka mi5.
Upo sahihi nipo kwenye biashara mwaka wa tano huu naona vita vyake kuna vita vingine vinapigwa hata mwenyewe hujui...hakika wewe ni mfanyabiashara
 
Kwenye moja na mbili mwaka huu ulinianza vibaya sana. Nimekuwa na circulation ya ajabu sana every four years matukio mbalimbali katika maisha yangu yamekuwa yakijirudia. So mwaka huu ulikuwa ni mwaka wa tukio kujirudia. So niliuanza na matukio ya fedheha kazini kiasi kwamba nikawa silali.
Imagine kuna mfanyakazi mwenzangu alinipakazia mimba aise. Kwa bahati nzuri nkakumbuka chumvi ya mawe nkatumia na mipango ikanyooka balaa.
Yaani mtu anakupakaziaje mimba?
 
watu wa JF sio wa.kuwapa siri kama hizi kwa sababu asilimia kubwa hawako serious.

watakutukana na watakukejeli.

ukitaka kuona manufaa ya chumvi ya.mawe, itumie na Muosha fedha!

weka manuizi yako kabla hujaoga.

usiiogee na sabuni, Oga kwanza kawaida kisha oga mchanganyiko wa chumvi ya mawe na Muosha FedhaView attachment 2895938
huo hapa mjani wa Muosha Fedha

Popoa hayo majani, kisha anika Juani mpaka yakauke. kama una access na kinu kidogo basi Twanga kisha anika
View attachment 2895939

Baada ya kutwanga na kuanika.
Muosha Fedha ni dawa ya Presha, mikosi nuksi vijicho MVUTO wa biashara wanawake e.t.c
Sahihi Kabisa ulichosema
Binafsi nilisema jf si mahali pakuwapa watu faida pamejaa utoto sio ile jf ya zamani nondo zilikuwa kama zote..
Unafanya yako unawaacha watu wanateseka unabaki kuwacheka tu..

Ndo maana hata matajiri huwa hawatupi mbivu sisi maskini nao walishajua hata akikupa utaishia kumnanga tena.
 
Back
Top Bottom