stoneblock
Senior Member
- Feb 28, 2023
- 126
- 386
- Thread starter
- #181
biashara inahitaji kitu cha ziada either usali sana au uroge sana kama huwezi kati ya hivyo vitu viwili usifanye biasharaBiashara ni strategies
biashara inahitaji kitu cha ziada either usali sana au uroge sana kama huwezi kati ya hivyo vitu viwili usifanye biasharaBiashara ni strategies
Maji ya baraka huwa unachukuwa kwa manabii?,Kwetu sisi tulioamini huo ni ushirikina. Huu mjadala siupendi, tuuache.
Amini unachoamini Mkuu.
Hata mim nilisema nijaribu tu sikuwah itilia maanani japo nilikuwa najua chumvi ni dawa nzuri toka nianze kutumia nalala usingizi mzuri naweka maji kwenye jar naweka chumvi nanuia naiweka kona ya nyumba ,nyumba kimyaaa hata wadudu hawaingiiiMimi pia nilikuwa ninaona ni utani.
nikasema acha ninunue halafu nitumie nione.
mishe zangu zikaanza kunyooka.
usiku napata usingizi mzuri sana usio na mandoto ya ajabu ajabu.
nikasema hakuna tena wa kunitenganisha na chumvi ya mawe.
nimeifanya sehemu ya maisha yangu.
Kuna waliosali sana na kuna walioroga sana na bado wakafirisika na kufunga biasharabiashara inahitaji kitu cha ziada either usali sana au uroge sana kama huwezi kati ya hivyo vitu viwili usifanye biashara
Ndio ushangae hapo.
kuna zile dawa za kissuna. Ushirikina mtupu. Ila wanatumia.
watanzania ni wanafiki sana.
Sio kila elimu ni uchawi.uchawi
Ni ushirikina kwa namna ipi hapo mkuu?Niushirikina tu Hakuna kitu kibaya kama kumshirikisha mwenyezi Mungu
Sasa kama angefanya kitu cha kuboresha biashara si angesema?Hakuna cha chumvi ya mawe wala nini hizo ni blaah blaah
Ungekuwa una akili kwa sasa ungefanya uchunguzi kuangalia ni nini kimeboresha biashara yako na kuongeza kipato chako ukomae humohumo na uboreshe zaidi
Labda bahari ikauke chumvi utoka bahariniWataka chumvi ya mawe iadimike mtaan ww
Kuogelea kwenye maji ya chumvi ni sawa na kuogea chumvi ya mawe?Hahaha kuna wavuvi huoga katika maji chumbi kila waendapo kazini ila hadi leo bado mambo ni mgumu
Sasa wewe ukweli umeujuaje hapo?yeye anatudanganyia chumvi
Imani potofu mbaya sanaSasa kama angefanya kitu cha kuboresha biashara si angesema?
Ni kweli kila mtu na anavyoamini na hilo ni la kuliheshimu, sema nilichojifunza binafsi ni kwamba sio kitu rahisi sana kujua uhakika wa kipi ni ushirikina na kipi sio ushirikina kama utaangalia mambo kiupana zaidi sema mwisho wa siku Mungu ndio mjuzi zaidi.Kwetu sisi tulioamini huo ni ushirikina. Huu mjadala siupendi, tuuache.
Amini unachoamini Mkuu.
Ila mkuu kuamini panado inaweza kukuondolea maumivu ya kichwa sio ushirikina?Kuamini chumvi inaweza kukuondelea matatizo yako
Inawezekana hiyo chumvi ya mawe imesababisha akapata akili jinsi ya kuboresha biashara yakeHakuna cha chumvi ya mawe wala nini hizo ni blaah blaah
Ungekuwa una akili kwa sasa ungefanya uchunguzi kuangalia ni nini kimeboresha biashara yako na kuongeza kipato chako ukomae humohumo na uboreshe zaidi
Hasa mchwa na siafuHata mim nilisema nijaribu tu sikuwah itilia maanani japo nilikuwa najua chumvi ni dawa nzuri toka nianze kutumia nalala usingizi mzuri naweka maji kwenye jar naweka chumvi nanuia naiweka kona ya nyumba ,nyumba kimyaaa hata wadudu hawaingiii
Ukiona nyumba yako inaingia wadudu wa kila aina jua sio ishara nzuri