Pekejeng
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 831
- 2,239
Ushirikina ni kufanya Ibada kwa asiyekuwa Mwenyez Mungu, au kumchanganya Mwenyezi Mungu na kiumbe katika IbadaUshirikina ni nini
Ushirikina ni kufanya Ibada kwa asiyekuwa Mwenyez Mungu, au kumchanganya Mwenyezi Mungu na kiumbe katika IbadaUshirikina ni nini
Kuna nguvu ya asili inayoendesha mambo sijui kama unalijua hiloHakuna cha chumvi ya mawe wala nini hizo ni blaah blaah
Ungekuwa una akili kwa sasa ungefanya uchunguzi kuangalia ni nini kimeboresha biashara yako na kuongeza kipato chako ukomae humohumo na uboreshe zaidi
Je, waoweka kwenye mboga hiyo haiondoi negative energy?I'm soleee to ask zis...je? Tufanye zile shule za feza, St Joseph, Francis, kemebos, St Mary's zinafundisha masuala ya chumvi? Unajua matumizi ya chumvi kuondoa bad energies ktk mwili wako na maisha yako kiujumla iko kiimani zaidi, sie wakristo tunaamini na iko kwenye biblia nafikiri ni wafalme wa pili sikumbuki namba ngapi nabii elisha aliondoa mapooza ktk mji ule waliokuwa wakizaa mapooza na maji yamebadilika kuwa damu, akawaambia leteni chumvi na kibeseni sjui skumbuki jina la chombo akaiweka mle na akaimwaga juu ya ile ardhi na mapooza yakakoma.....hivo chumvi ni imani zaidi
Kwenye mboga inawekwa kuleta taste tu, ila kuondoa negativity ni unaogea na kwa madhumuni umeweka moyoni kwamba nataka kuondoa jambo flani baya juu yangu....chumvi ina maajabu ukiwa na imani nayoJe, waoweka kwenye mboga hiyo haiondoi negative energy?
Watoto wa 2005 wanajua nini sasa hata kiimani hawajajengekaKuna nguvu ya asili inayoendesha mambo sijui kama unalijua hilo
Kwa haya uliyoandika hapa ni kwamba
Hujawahi face changamoto zozote za maisha
We ndo great thinker unaeamini ukiogea chumvi inakuletea baraka mjinga mmoja wewewatu kama nyie ndo great thinkers?
Si kweliKuna nguvu ya asili inayoendesha mambo sijui kama unalijua hilo
Kwa haya uliyoandika hapa ni kwamba
Hujawahi face changamoto zozote za maisha
Hayo tayari si yashakuwa masharti je, hapo kuna uwepo wa MUNGU... Au unakuwa na imani yako binafsi?Kwenye mboga inawekwa kuleta taste tu, ila kuondoa negativity ni unaogea na kwa madhumuni umeweka moyoni kwamba nataka kuondoa jambo flani baya juu yangu....chumvi ina maajabu ukiwa na imani nayo
usipanic mdogo wangu sio kila kitu kwenye hii dunia ni lazima ukitumie kama umeona hakifai ni bora tu ukae kimya maana kuna watu wanateseka wanatafuta suluhisho la matatizo yao kuna ambao wapo tayari hata kuua na kufanya dhambi nyingine ili tu mateso yawaondokee hivho nlichoelezea ni kitu kidogo tu unaweza kukiacha au kukifanya lakini usitumie nguvu kubwa kumkwaza mwingineWe ndo great thinker unaeamini ukiogea chumvi inakuletea baraka mjinga mmoja wewe
Punguza kujieleza andika comment fupi sijasoma huu upuuziusipanic mdogo wangu sio kila kitu kwenye hii dunia ni lazima ukitumie kama umeona hakifai ni bora tu ukae kimya maana kuna watu wanateseka wanatafuta suluhisho la matatizo yao kuna ambao wapo tayari hata kuua na kufanya dhambi nyingine ili tu mateso yawaondokee hivho nlichoelezea ni kitu kidogo tu unaweza kukiacha au kukifanya lakini usitumie nguvu kubwa kumkwaza mwingine
SIO KILA POST LAZIMA UCOMMENT
Mimi sio mtoto kama ww idadi ya wanaonitegemea ni kubwa kuliko unavyofikiria huu muda unaotaka tujibizane ni bora nikafundisha hata watoto wangu usiku mwma sitajibu chochote kwakoPunguza kujieleza andika comment fupi sijasoma huu upuuzi
Basi nisamehe mkuuMimi sio mtoto kama ww idadi ya wanaonitegemea ni kubwa kuliko unavyofikiria huu muda unaotaka tujibizane ni bora nikafundisha hata watoto wangu usiku mwma sitajibu chochote kwako
Mkuu una hekima, hongera sana.Basi nisamehe mkuu
Lakini bado hujaona maokoto 😂Mimi naila kila siku kwenye chakula. Siogei bali naiingiza kabisa ndani ya mwili
Wewe huna msimamo, hujiamini?Mkuu hiv haya mambo ni kwel lakin??
Na sisi tunaooga maji ya visima yenye chumvi kila siku na bado tuna mamikosi kama yote unatuambia nini mkuu?Kwenye mboga inawekwa kuleta taste tu, ila kuondoa negativity ni unaogea na kwa madhumuni umeweka moyoni kwamba nataka kuondoa jambo flani baya juu yangu....chumvi ina maajabu ukiwa na imani nayo
Ina maana papa haijui hii chumvi? mbona anazingua sanaZamani za kale Mungu alimwamuru Elisha atue chumvi ndani ya maji ili kuondoa mapooza. Wakatoliki tunaijua sana hii sala wakati wa kubariki chumvi inayochanganywa kwenye maji tunayoita ya Maji ya baraka!