Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

watu wa JF sio wa.kuwapa siri kama hizi kwa sababu asilimia kubwa hawako serious.

watakutukana na watakukejeli.

ukitaka kuona manufaa ya chumvi ya.mawe, itumie na Muosha fedha!

weka manuizi yako kabla hujaoga.

usiiogee na sabuni, Oga kwanza kawaida kisha oga mchanganyiko wa chumvi ya mawe na Muosha FedhaView attachment 2895938
huo hapa mjani wa Muosha Fedha

Popoa hayo majani, kisha anika Juani mpaka yakauke. kama una access na kinu kidogo basi Twanga kisha anika
View attachment 2895939

Baada ya kutwanga na kuanika.
Muosha Fedha ni dawa ya Presha, mikosi nuksi vijicho MVUTO wa biashara wanawake e.t.c
Aisee
fungua PM tunakuja
 
Hakuna cha chumvi ya mawe wala nini hizo ni blaah blaah

Ungekuwa una akili kwa sasa ungefanya uchunguzi kuangalia ni nini kimeboresha biashara yako na kuongeza kipato chako ukomae humohumo na uboreshe zaidi
Watu kama wewe unakuta hujawahi kuuza hata pipi. Ndugu yangu, ukishasikia biashara, ujue ni vita. Tena ni vita kubwa. Hayo mambo ya kuboresha sijui nini ni ziada tu. The real battle is fought in a very different way. Kama ukitaka kuwa mfanya biashara na hutaki kuipigana vita hii, biashara yako haitoboi miaka mi5.
 
Wakuu haya mambo husaidia sio chumvi tu pia magadi fulani hivi , nakumbuka kipindi naenda mkoa kabla ya chochote bibi ananidaka ananipa magadi nalamba yea mambo ya zongo hayakupati wala vijicho usda

Kuhusu chumvi ya mawe husaidia pia
Kwa matokeo ya haraka chumvi inuie tia ktk maji then ogea sehemu tofauti na chooni better bafuni au nje tu kama huonekani fanya kwa imani aki waliokuwekea kauzibe yanaondoka

Ukitoka jipake mafuta ya mzeituni nayo nuia vile vile , mwombe muumba wako akubariki, nenda ktk shughuli zako hakikisha ujiunganishi na dhuluma,unafki,choyo,kinyongo,wala dharau

Ukitaka kujirestore zaidi mtafute mchaga og acha hawa wachaga pori mwambie siku akienda kwao akirudi akujie na yale majani wanayotumia kuogea kufuta mikosi ni marefu hivi
 
Nimekuwa nikifanya biashara na udalali kwa shida sana hadi siku nimeanza kutumia chumvi ya mawe sisemi ni dawa ila imani huponya

CHUMVI imesaidia kunipa kipato cha 200k kwa week i

Imenisaidia duka langu naona hela sasa sio kama zamani

Imenisaidia kupunguza na kumaliza madeni korofi

Imenisaidia kufanya biashara na watu niliokuwa nimegombana nao kiasi cha kutosemeshana

Matumizi
Nunua chumvi ya mawe sokoni hata ya 500 tu, weka kijiko kimoja kwenye maji ya kuoga ogea asubuhi na jioni hadi utakapoona mambo yamekubali
Unahitaji damu ya Yesu tu, haya mambo ya chumvi ni mbwembwe tu na confidence huja baada ya kuamini utafanikiwa

Sidhani kama ungesikia au kusoma uzi wa nilivyofeli baada ya kutumia chumvi ungethubutu kuutumia
 
Mimi imenisaidia sana kila nikikutana tu na Demu katika Kutiana / Kubanduana nae nikiipakaza tu katika Mkuyenge / Mkurudungu wangu huu Tukuka na Kuuingiza / Kuusokomeza wote Mbunyeni / Kokwani mwa Mwanamke ( Demu ) husikia Utamu sana na huwa hawaniachi huku kila mara tu wakitaka tena.
We unajisifu huku wakati mademu zako wanatangaza una kibamia[emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu hilo jambo Mimi sikupingi maana kazi kubwa ya chumvi ya mawe ni Kuondoaa negative energy na baadae inafungua chakra na chakra zikifunguka unaanza kuwa na upendo na kila MTU na hapo mafanikio hufata
Unajua hili lilikuwa linahusishwa na watu kutoa gundu baharini zamani sana ,ila baadae watu walikuja kusema ni ushirikina.

Hili suala nilikuwa naona watu wakifanya ila najua ni ushirikina...Mfano mtu akipona kweny ajali anaambiwa akaogee chumvi ya mawe au maji ya bahari.
 
Hukuwa na sababu ya kuchangia usingeandika kitu ungepukiwa na nini?

kwangu mimi ni mara kumi anaetumia chumvi ya mawe kuliko anaepiga bao kwa waganga.

binafsi pia imenisaidia sana

na hata katika vitabu vya dini mfano biblia kuna uthibitisho wa nguvu ya chumvi dhidi ya nguvu hasi zote katika huu ulimwengu.

do your homework properly.
Kwetu sisi tulioamini huo ni ushirikina. Huu mjadala siupendi, tuuache.

Amini unachoamini Mkuu.
 
Watu kama wewe unakuta hujawahi kuuza hata pipi. Ndugu yangu, ukishasikia biashara, ujue ni vita. Tena ni vita kubwa. Hayo mambo ya kuboresha sijui nini ni ziada tu. The real battle is fought in a very different way. Kama ukitaka kuwa mfanya biashara na hutaki kuipigana vita hii, biashara yako haitoboi miaka mi5.
Biashara ni strategies
 
Ndio ushangae hapo.

kuna zile dawa za kissuna. Ushirikina mtupu. Ila wanatumia.

watanzania ni wanafiki sana.
Mafuta ya upako ni Olive oil ama mafuta ya mnyonyo ambayo yamekuwepo miaka chungu tele kwenye maduka ya kisuni kabla hata mwamposa hajaja mjini ila usipoyanunua kwake ukanunulia duka la kisuni unaitwa mshirikina😂
 
Mimi pia nilikuwa ninaona ni utani.

nikasema acha ninunue halafu nitumie nione.

mishe zangu zikaanza kunyooka.

usiku napata usingizi mzuri sana usio na mandoto ya ajabu ajabu.

nikasema hakuna tena wa kunitenganisha na chumvi ya mawe.

nimeifanya sehemu ya maisha yangu.
Chumvi ni nzuri mno acheni kwenda waganga chumvi inaondoa bad energy zote
Iwe kuogea kuiweka ndani
 
Back
Top Bottom