Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

Ukiwa unafanya harakati Sana (movement) Ila haupigi hatua (progress) unabidi kujitathimini upande Wa spiritual Kwa kuondoa negative energy na huu sio uchawi

Chumvi ya mawe ni Kama sabuni Kazi kubwa ni kujisafisha na kupata reborn nakufungua chakra
 
2 Wafalme 2:19-22

"19 Watu wa mjini wakamwambia Elisha, Angalia, twakusihi, mahali pa mji huu ni pazuri, kama bwana wangu aonavyo; lakini maji yake hayafai, na nchi huzaa mapooza.

20 Akasema, Nileteeni chombo kipya, mtie chumvi ndani yake. Wakamletea.

21 Akatoka akaenda mpaka chemchemi ya maji, akatupa ile chumvi humo ndani, akasema, BWANA asema hivi, Nimeyaponya maji haya; hakutatoka huko tena kufa wala kuzaa mapooza.

22 Hivyo yale maji yakapona hata leo, sawasawa na neno la Elisha alilolinena."

Someni neno, acheni maneno!

Halaf watu wanakomaza mafuzu[emoji23][emoji23] asieamin ni juu yake hatulazimishi mtu
 
BAADHI YA KAZI ZINGINE MHIMU ZA CHUMVI MWILINI:


  • Chumvi huyalazimisha baadhi ya maji kubaki nje ya seli. Inarekebisha uwiano sawa wa kiasi cha maji yaliyopo nje ya seli. kuna bahari mbili za maji ndani ya mwili, bahari moja imejishikiza NDANIya seli, na bahari nyingine ya pili imejishikiza NJE ya seli. Afya bora inategemea uwiano mzuri wa ujazo wa maji uliopo baina ya bahari hizi mbili, na usawa huu unawezeshwa pekee na chumvi, chumvi ambayo haijasafishwa (unrefined sea salt) ndiyo nzuri zaidi.
  • Chumvi husaidia kuondoa dalili za mfadhaiko (stress).
  • Figo hazitaweza kufanya kazi zake vizuri bila chumvi.
  • Kukata tamaa na matatizo ya kisaikolojia, vitaondolewa kwa kuchukuwa chumvi zaidi, kula mlo kamili na kufanya mazoezi ya kutembea.
  • Mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida yanaweza kurudishwa katika hali yake ya kawaida kwa kuchukuwa kipande cha chumvi na kukiweka mwishoni mwa ulimi na kukifanya kiyeyuke.
  • Mifupa inapata uimara wake toka katika chumvi, na siyo katika kalisiamu pekee.
  • Je wewe ni mwanaume na unashindwa kuhimili kusimama? unahitaji chumvi zaidi na kunywa maji halisi zaidi.
  • Kuichukuwa chumvi na kunywa maji kabla ya mazoezi, kutakusaidia kupumua vizuri na kutokwa na jasho chache.
  • Matatizo ya kibofu cha mkojo na upotevu wa mkojo wa makusudi, vingeweza kurekebishwa kwa kuongeza chumvi zaidi kwenye mlo wako.
  • Dalili za maumivu ya jongo (Gout) zinaweza kuzuiwa kwa kutumia chumvi.
  • Chumvi ni mhimu ili kuzuia kuvimba kwa mishipa na vena kwenye miguu.
  • Kwa sababu tunapata potasiamu karibu katika kila chakula tunachokula, chumvi inatakiwa kuongezwa katika milo yetu, hii itairuhusu miili yetu kuhimili usawa sahihi wa maji kati ya bahari ya ndani na ile ya nje ya seli.
  • Chumvi ni mhimu ili kuondoa asidi iliyozidi kwenye seli, hasa seli za ubongo.
  • Chumvi ni mhimu kwa ajili ya kusawazisha kiasi cha sukari kwenye damu, hivyo kuzuia ugonjwa wa kisukari.
  • Chumvi ni mhimu katika uzarishaji wa nguvu umeme itokanayo na maji katika seli zote za mwili.
  • Chumvi ni mhimu katika mawasiliano ya neva na ufanikishwaji wa taarifa wakati wote seli za ubongo zinapofanya kazi tangu kuzaliwa hadi kufa.
  • Chumvi ni mhimu katika umeng'enywaji wa chakula na madini kwenye utumbo mdogo (intestinal tract).
  • Chumvi ni mdhibiti madhubuti dhidi ya histamini.
  • Chumvi ni mhimu ili kuzuia mikakamao ya mishipa (cramps).
  • Chumvi ni mhimu katika kusafisha makohozi na kubana kwa kifua.
  • Chumvi ni mhimu ili kuzuia uzarishaji wa kuzidi wa mate katika kiwango kwamba yanatoka nje ya mdomo wakati umelala, kitendo hiki cha kutoa mate (udenda) wakati umelala ni dalili ya upungufu wa chumvi mwilini.
  • Chumvi ina umhimu mubwa katika uimarishaji wa mifupa. Ugonjwa wa mifupa (osteoporosis) kwa sehemu kubwa, ni matokeo ya upungufu wa chumvi na maji mwilini.
  • Chumvi ni mhimu katika usafishaji wa makohozi mapafuni na maji yaliyogandamana hasa kwa watu wenye pumu, ikiwa inakulazimu kusafisha koo kila wakati, ni dalili kuwa umepungukiwa chumvi.
 
watu wa JF sio wa.kuwapa siri kama hizi kwa sababu asilimia kubwa hawako serious.

watakutukana na watakukejeli.

ukitaka kuona manufaa ya chumvi ya.mawe, itumie na Muosha fedha!

weka manuizi yako kabla hujaoga.

usiiogee na sabuni, Oga kwanza kawaida kisha oga mchanganyiko wa chumvi ya mawe na Muosha FedhaView attachment 2895938
huo hapa mjani wa Muosha Fedha

Popoa hayo majani, kisha anika Juani mpaka yakauke. kama una access na kinu kidogo basi Twanga kisha anika
View attachment 2895939

Baada ya kutwanga na kuanika.
Muosha Fedha ni dawa ya Presha, mikosi nuksi vijicho MVUTO wa biashara wanawake e.t.c
Umebakiza hatua chache uanze kupaa
 
IMG_2075.jpg
 
Nimekuwa nikifanya biashara na udalali kwa shida sana hadi siku nimeanza kutumia chumvi ya mawe sisemi ni dawa ila imani huponya

CHUMVI imesaidia kunipa kipato cha 200k kwa week i

Imenisaidia duka langu naona hela sasa sio kama zamani

Imenisaidia kupunguza na kumaliza madeni korofi

Imenisaidia kufanya biashara na watu niliokuwa nimegombana nao kiasi cha kutosemeshana

Matumizi
Nunua chumvi ya mawe sokoni hata ya 500 tu, weka kijiko kimoja kwenye maji ya kuoga ogea asubuhi na jioni hadi utakapoona mambo yamekubali
Mungu ameamua kukubariki kwenye kazi zako. Mungu si chumvi wala athumani. Mpe sifa zake.
 
Iko hivi... Chumvi inawasha haswa kuliko hata pilipili na upupu...
sisi binadam tunakuwaga na ka tabia tukipatikana tunataka na wengine wapatikane...

[emoji23]kaogeni chumvi...
 
Umenichekesha kweli, kwa hiyo shirki ni kwenda kwa mganga pekee?
Ndio maana nasema mijadala ya hivi siipendi.
Kwa nini umeambiwa baada sala uombe dua au kuna dua za sabaha na masaa hizi zote ni protection kumshirikisha allah ni kuomba kiti kisichokuwa Allah ,kuna vitu Allah kavipa nguvu mfano Surat Yaasin Ayat Kursii na mambo kibao .
 
Back
Top Bottom