Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

Hakuna cha chumvi ya mawe wala nini hizo ni blaah blaah

Ungekuwa una akili kwa sasa ungefanya uchunguzi kuangalia ni nini kimeboresha biashara yako na kuongeza kipato chako ukomae humohumo na uboreshe zaidi
Kama hujui uliza.

Chumvi ya mawe imetumika toka enzi za manabii.

Hata kwenye Biblia ipo.

Baadhi ya Makanisa kama Katoliki wanatumia chumvi kwenye maji ya mvua na kuyaita "maji ya baraka".

Kama huamini sema humamini ila haina maana kwamba ni uongo.
 
Yaan mim Chumvi ya mawe na kumanifest huniambii kitu aisee matokeo nimeyaona makubwa sana
Hata ile ishu nilikusimulia huwezi amin vitu vimegeuka kuwa habari nzuri
Ngona nikuje pm
alaf anakuja mtu anasema ni uchawi uchawi wa kutumia 500 au 1000 haifanani na wa kwenda kwa binadamu wenzako na kuwapa kuku mbuzi na pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…