Hongera Lionel Messi lapulga

Hongera Lionel Messi lapulga

Hoja dhaifu sana kuwahi kutokea👆
Umejuaje akihama hatong'ara? Kama akina pogba,hazard,mbape,mohamed salah,kane na Aguero wameweza, Messi ashindwe nini! Wakati hao hao alikutananao na akawafunga,huko ujerumani, ufaransa na italia pia hivyo hivyo kawakung'uta....
Sasa unataka ahame aende tim ipi? Kama mahitaji Barca inamtimizia yote ayatakayo, sasa unataka aende wapi?
Sometimes muwe mnafikiria cha kukomenti mkuu...
mbona timu ya taifa haipi mafanikio kama afanyavyo akiwa barca? Messi nje ya Barcelona ni mwepesi sana
 
King Messi
Messi.jpeg
 
mbona timu ya taifa haipi mafanikio kama afanyavyo akiwa barca? Messi nje ya Barcelona ni mwepesi sana


Screenshot_20190401-123334_Chrome.jpg
Screenshot_20190401-124832_Chrome.jpg


Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe....Mtaongea sana lakini hamtampunguzia kitu mfalme wa soka kuwahi kutokea....next week sio mbali mtakipata mnachokitaka kwa King, BINGWA wa kukusanya kijiji...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom