Hakika mkuu ata mimi ili swala limenifikirisha sana ajabu waliochwa wapo wa5 lakin aliumiza watu ni mmoja tu LukuviUkiona KIONGOZI WA CCM anasifiwa HADHARANI mitandaoni basi huyo kawagusa wananchi wa pato la chini moja kwa moja kwa kutenda haki na kuwafikishia kile wanachotaka
hayo unayoyaeleza hayakuwa na manufaa kwa mwananchi mmoja mmoja hasa
WIZARA ilipokuwa chini yake aliitendea haki haswa hilo lipo wazi
Mbona unatusemea sema umeiona kwa sababu unazozijuwa mwenyeweHongera waziri Lukuvi ardhi uliituliza,Kazi yako watanzania tumeiona , kama hutajali 2025 uje kutuomba kura ya uraisi tukupe kwa roho nyeupe.
Alifanya kipi ambacho wengine hawakuwahi kufanya?Dingi alijitahidi sn sema maza udini unamtafuna sn
Mimi nilidhani sukuma gang ni ya wasukuma, kumbe hata waIringa/Njombe wanaruhusiwa kujiunga?Tatizo ukimuangalia kwa jicho la undani utagundua kuna ka chembe ka udini sana kwa upande wake nadhani ni moja ya sababu za kupanguliwa kwake na anahusisgwa na ile Sukuma Gang
Mbona unatusemea sema umeiona kwa sababu unazozijuwa mwenyewe
Sidhan hilo baya lake linaweza futa mazuri yake yote
Mimi nilidhani sukuma gang ni ya wasukuma, kumbe hata waIringa/Njombe wanaruhusiwa kujiunga?
Kama wasio wasukuma wanaweza kujiunga, kwa nini isiitwe jina jingine badala ya jina la kabila moja?
Kwa nini wakaitwa sukuma wakati kuna watu toka sehemu mbalimbali?SUKUMA GANG ni mkusanyiko wa wale Wote waliokuwa WANAUNGA MKONO JUHUDI irrespective ya wapi wanakotoka Ndio maana wakina Polepole wanajumuishwa humo!!!
Je chuki ya wazi, udini na ubaguzi wa huyo Lukuvi anaetetewa unausemeaje Mkuu? Kumbuka clip yake dhidi ya Zanzibar na Waislamu kisha rejea majibu yake kwa yule bwana wa Mwanza.Dingi alijitahidi sn sema maza udini unamtafuna sn
Mara amerithi baraza, mara asingewatoa mawaziri. Hata mnalolitaka halieleweki. Ndiyo ni muhimu kutaka urais pale yule uliye naye chama kimoja akimaliza muda wake. Sasa ukitaka urais wakati bosi wake anaendelea, ni lazima utamkwamisha kufikia malengo ya kuwatumikia wananchiiLukuvi ni mtu wa Mungu , mawaziri wote wameonewa
Anayeutaka urais ni waziri wa umeme ila ameachwa
Wananchi wa pato la chini wengi hawapo humu mitandaoni. JPM alivyowatendea haki watu wa pato la chini mbona humu kila kukicha anatukanwa?Ukiona KIONGOZI WA CCM anasifiwa HADHARANI mitandaoni basi huyo kawagusa wananchi wa pato la chini moja kwa moja kwa kutenda haki na kuwafikishia kile wanachotaka
hayo unayoyaeleza hayakuwa na manufaa kwa mwananchi mmoja mmoja hasa
WIZARA ilipokuwa chini yake aliitendea haki haswa hilo lipo wazi
Nitajie mambo 5 tu aliyofanya Lukuvi yanayostahili sifa kwake?Salam!!!
Naweza kusema mh. William Lukuvi ni miongoni mwa viongozi wachache walioweza kusifiwa kwa utendaji wao angali wakiwa hai
Jana baada orodha ya mawaziri waliochwa kwenye baraza la mawaziri kutoka nimeona kwenye mitandao ya kijamii na huku mtaani watu wengi wakiumia sana kwanini mh Rais kamuacha lukuvi wakati huyu kiongozi alikuwa ni mchapa kazi mahiri.
Kinachonishangaza kwanini watu wengi wameuzunishwa na kuondolewa kwake
Hakika hapa kunakitu cha kujifunza kutoka kwa kiongozi huyo
Kwenu viongozi tunapopewa nafasi za kutumikia taifa hili tujitahid kuzitendea haki
Na tusiwe waimba mapambio tuige mfano wa mh Lukuvi.
Kila la kheri William Lukuvi katika majukumu yako..
Akikujibu nitaggAlifanya kipi ambacho wengine hawakuwahi kufanya?
Bora anayejiweka wazi kuliko huyo mwenye tabia za moto wa pumba au majivuAliyetengua ndiyo amejaa udini sn