Hongera madam ritha

Hongera madam ritha

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ni ukweli usiofichika kuwa ushindi wa kala jeremiah kunyakua tuzo tatu mfululizo ni faraja sana kwa madam ritha ambaye ndo aliyemuibua rapper huyo anayefanya vyema na ngoma yake ya dear god,ki ukweli jamaa anaweza,sio kwa sababu kapata tuzo jana.ni miaka mingi imepita tangu mwana mama huyo afanye zoezi la kuibua vipaji kupitia program yake ya BONGO STAR SEARCH na washiriki wake kuonekana kutofanya vizuri kwenye game la muziki apa bongo,kala kampa moyo madam ritha kwani toka mwanamama huyo aanzishe program yake hiyo nadhani hakuna hata mshiriki mmoja aliyewahi kupata tuzo,kitu ambacho kilimkatisha moyo madame,BIG UP MADAME na majaji wake SALAMA NA MASTER J,kwani kwa ujumla ndio waliofanikisha kuchagua wasanii bora kama akina kala,baby madaha na wengine..
 
Hapana hongera kwa kala maana kila anaekuwaga wa kwanza huwa hafanyi kituu
 
Sawa ila ni zao la BSS japokuwa hakushinda
 
Back
Top Bottom