Cognitivist
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,057
- 2,096
Hivi kati ya mimi na wewe nani kakurupuka? Umesoma title ya thread lakini?We umekurupuka kusoma wapi kaandika ni kituo bora cha Tv, amesema EATV ndo kituo bora tena mstar wa mwisho hapo sasa ww unakuja kupotosha au ndo nyie majiran wa majay
Salome kaliwaAnammiliki pia lulu na hamisa [emoji15] [emoji15] [emoji14]
Cc hance mtanashati
Hahahah mkuu nilikuwa nimempa Like baada ya kusoma comment yako nikaamua nitengue Like yangu nikupe wewe .Kwa maelezo yako kituo kimefunguliwa jana tayari leo hii kimeshakuwa kituo bora cha TV...bila shaka ni kwa hisani ya twaweza.
Sasa ivi inashika Tanzania nzima soon itashika afrika mashariki na kati ikishaingia DSTVTatizo itakua inashika Dar pekee
[emoji15]Salome kaliwa
Mzazi mwenzie Hamisa na mpenzi wa Lulu kwa sasa....Huyu majay ndie mmiliki wa e fm?
Kuna Amc mbili ujue kuna ya amc na amc movies mm natumia starsat yaani startimes ya dish so antenna Huku channel zinàanziaga namba 99 na kuendelea hakuna 1 wala 2Anakufanya mtoto mbona, AMC ni no 017.
Ohoo labda hyo ndo 7bu ila am not sure...maana mm natumia antena ya nje...amc ni 017 na amc movies ni 018.Kuna Amc mbili ujue kuna ya amc na amc movies mm natumia starsat yaani startimes ya dish so antenna Huku channel zinàanziaga namba 99 na kuendelea hakuna 1 wala 2
King'amuz cha antenna na dish ni tofauti kabisa japo company ni moja ni tofauti kuanzia malipo,channel nk.mfano kwa dish kifurushi ni kuanzia 18 elf kwenda juu alafu antenna bei nafuu na channel nying sema cha dish hakuna channel ku scratch wala kugoma iwe mvua au jua unakula raha tuOhoo labda hyo ndo 7bu ila am not sure...maana mm natumia antena ya nje...amc ni 017 na amc movies ni 018.
Vigezo na masharti vinazingitiwa. Soon watafika nchi nzima.Tatizo itakua inashika Dar pekee