Hongera Majay kwa kituo bora cha TV

Hongera Majay kwa kituo bora cha TV

We umekurupuka kusoma wapi kaandika ni kituo bora cha Tv, amesema EATV ndo kituo bora tena mstar wa mwisho hapo sasa ww unakuja kupotosha au ndo nyie majiran wa majay
Hivi kati ya mimi na wewe nani kakurupuka? Umesoma title ya thread lakini?
 
Whàaat nlikuwa thijui nikirudi hme break ya kwanz kufungua king'amuzi alaà![emoji7]
 
Nimempigia mtu simu kaangalia anasema 115 ni amc natumia starsat au kaweka startimes ipi jamani?
 
Anakufanya mtoto mbona, AMC ni no 017.
Kuna Amc mbili ujue kuna ya amc na amc movies mm natumia starsat yaani startimes ya dish so antenna Huku channel zinàanziaga namba 99 na kuendelea hakuna 1 wala 2
 
Kuna Amc mbili ujue kuna ya amc na amc movies mm natumia starsat yaani startimes ya dish so antenna Huku channel zinàanziaga namba 99 na kuendelea hakuna 1 wala 2
Ohoo labda hyo ndo 7bu ila am not sure...maana mm natumia antena ya nje...amc ni 017 na amc movies ni 018.
 
Ohoo labda hyo ndo 7bu ila am not sure...maana mm natumia antena ya nje...amc ni 017 na amc movies ni 018.
King'amuz cha antenna na dish ni tofauti kabisa japo company ni moja ni tofauti kuanzia malipo,channel nk.mfano kwa dish kifurushi ni kuanzia 18 elf kwenda juu alafu antenna bei nafuu na channel nying sema cha dish hakuna channel ku scratch wala kugoma iwe mvua au jua unakula raha tu
 
Back
Top Bottom