Hongera Malaika Wangu, Nakupenda sana!!

Na siku mkifumaniana uleto mrejesho humu humu
 
Na siku mkifumaniana uleto mrejesho humu humu
 
Shansarie ndio umempa ban hata ya kutusabahi huku Jeiefu mkuu ....btw Happy Kimambo birthday to her
 
Penzi ni kama UA zuri la waridi tena linapositawi hunukia kama hariri

Penzi linaweza kukufanya uwe kipofu milele

Penzi ni sukari isiyokuwa na bei Kali Kwa mteja wahenga walisema kidogo chako kikubwa cha ndarichako

Penzi likiota mizizi kinachofuata ni ndoa ,ndoa ikiota kitambi hutoa watoto naaam wahenga walisema asiye na mwana aeleke jiwe

Penzi tamu kama asali tena tamu kama pepo ya mwana wa mfalme wa wafalme wote ulimwenguni

Mapenzi hayaishi mapenzi hayaeshi mapenzi ni utamaduni mapenzi ni nguo ikichakaa huchanika ikichanika hutupwa muhali

Karibu ndani
H B D
 
aisee...
labda ni un function hiyo mambo(kojoleo) yako ili niwe huru...siku trust kabisa...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu acha rohoo mbaya!![emoji44][emoji44][emoji44].....nifundishe namna ya kufanya ili shansarie awe mchepuko wangu buana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…