Hongera Malaika Wangu, Nakupenda sana!!

Hongera Malaika Wangu, Nakupenda sana!!

Penzi ni kama UA zuri la waridi tena linapositawi hunukia kama hariri

Penzi linaweza kukufanya uwe kipofu milele

Penzi ni sukari isiyokuwa na bei Kali Kwa mteja wahenga walisema kidogo chako kikubwa cha ndarichako

Penzi likiota mizizi kinachofuata ni ndoa ,ndoa ikiota kitambi hutoa watoto naaam wahenga walisema asiye na mwana aeleke jiwe

Penzi tamu kama asali tena tamu kama pepo ya mwana wa mfalme wa wafalme wote ulimwenguni

Mapenzi hayaishi mapenzi hayaeshi mapenzi ni utamaduni mapenzi ni nguo ikichakaa huchanika ikichanika hutupwa muhali

Karibu ndani
H B D
strugo...thank you
 
[emoji312] [emoji313] [emoji322] [emoji322] [emoji323] [emoji324] [emoji324] [emoji485] [emoji488] [emoji488] [emoji512] [emoji512] [emoji512] [emoji512] [emoji512] [emoji512] [emoji512]
Happy Birthday my sweet love!!
Siku yako hii ya kuzaliwa nakutakia kila jema kwenye maisha yako.
shansarie! Tumetoka mbali...
You have celebrated many birth days but the today one is very special.

shansarie... Furaha yako, amani yangu.

Nakumbuka ulivyoruka vihunzi vya mabazazi wa jf...
Kina Bishanga waliojaribu hadi kukuhonga kwa magari na bado ulibakia imara...
Kina Asprin waliojaribu kujifanya wazazi wako bado ulibakia imara...
Fitina za wifi zako espy, cute b, Valentina, Khantwe, Chocs, Lady doctor, na yule mke wa Mwanyasi...bado ulibaki Imara...

In short siwezi kueleza kila kitu hapa, mengine nitakuelezea chumbani.

Karibuni wapendwa tu celebrate siku ya kuzaliwa mke wangu mpenzi.

Happy Birthday shansarie, love you to the Sun...[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji177] [emoji178] [emoji181] [emoji173]
Kilichobakia sasa ni [emoji183] coming soon...

kiwatengu you have been warned ...

Am married to Sky Eclat.

Only death will do us apart...

Usirudie tena...!!!
 
Back
Top Bottom