Carica_papaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 767
- 1,272
Halafu kaka wewe ni Mtanzania kwa Kiswahili chakoKuanzia saa sita usiku wa kuamkia leo mkataba wa kufungua soko la pamoja Afrika umeanza kufanya kazi, kilichosalia ni kila taifa mwanachama kuratibisha halafu tarehe saba mwezi wa saba inazinduliwa rasmi.
Kimsingi, ni safari ndefu na yenye misukosuko lakini tutafika tu, bara hili tumenyonywa sana na kuliwa hadi wengi tumebaki mahandaki matupu, mabeberu hili linawapa tumbo joto maana mjinga akishtuka lazima mwerevu ubabaike, la kushangaza kuna baadhi ya mataifa bado yemenuna na kuona bora yaendelee huko huko kwa mabeberu, ila nategemea mlango utabaki wazi siku wakitia akili wataruhusiwa kuingia kwenye hili soko la walaji zaidi ya bilioni moja.
----------------------------------
The African continental free trade agreement legally came into effect at midnight, but the countries that have signed up have until July to work out the details of how it will work.
It is only from then that we'll start to see what difference it could make.
The AU's commissioner for trade and industry Albert Muchanga celebrated the news on Twitter.
"Historic milestone! #AfCFTA Agreement has today come into force. We celebrate the triumph of bold, pragmatic & continent-wide commitment 2 economic integration. We launch market on 7 July, 2019 & begin the journey of transformation 2 secure inclusive prosperity," Muchanga tweeted.
So far, only 24 African countries out of 54 have ratified the trade agreement with, among others, Africa’s largest economy Nigeria yet to sign.
Burkina Faso became the latest country to join when it signed up on Wednesday.
Africa’s free trade area worth $3 trillion now comes into force
Countries that have signed up have until July to work out the details of how it will work.www.theeastafrican.co.ke
Mbona Umekua na TABIA MBAYA YA KUIPONDA NCHI YA WAZAZI WAKO??? na umekua Ukijifanya MKENYA!!
BADILIKA.