Hongera mama Afrika, kumekucha, tumethubutu, bara letu linafunguka

Hongera mama Afrika, kumekucha, tumethubutu, bara letu linafunguka

Kuanzia saa sita usiku wa kuamkia leo mkataba wa kufungua soko la pamoja Afrika umeanza kufanya kazi, kilichosalia ni kila taifa mwanachama kuratibisha halafu tarehe saba mwezi wa saba inazinduliwa rasmi.
Kimsingi, ni safari ndefu na yenye misukosuko lakini tutafika tu, bara hili tumenyonywa sana na kuliwa hadi wengi tumebaki mahandaki matupu, mabeberu hili linawapa tumbo joto maana mjinga akishtuka lazima mwerevu ubabaike, la kushangaza kuna baadhi ya mataifa bado yemenuna na kuona bora yaendelee huko huko kwa mabeberu, ila nategemea mlango utabaki wazi siku wakitia akili wataruhusiwa kuingia kwenye hili soko la walaji zaidi ya bilioni moja.
----------------------------------

The African continental free trade agreement legally came into effect at midnight, but the countries that have signed up have until July to work out the details of how it will work.
It is only from then that we'll start to see what difference it could make.
The AU's commissioner for trade and industry Albert Muchanga celebrated the news on Twitter.
"Historic milestone! #AfCFTA Agreement has today come into force. We celebrate the triumph of bold, pragmatic & continent-wide commitment 2 economic integration. We launch market on 7 July, 2019 & begin the journey of transformation 2 secure inclusive prosperity," Muchanga tweeted.
So far, only 24 African countries out of 54 have ratified the trade agreement with, among others, Africa’s largest economy Nigeria yet to sign.
Burkina Faso became the latest country to join when it signed up on Wednesday.

Halafu kaka wewe ni Mtanzania kwa Kiswahili chako
Mbona Umekua na TABIA MBAYA YA KUIPONDA NCHI YA WAZAZI WAKO??? na umekua Ukijifanya MKENYA!!
BADILIKA.
 
This free trade zone will be a major damping ground for western and Chinese goods.

They'll quickly sign unfair deals for countrymen while pocketing kickbacks!
 
Halafu kaka wewe ni Mtanzania kwa Kiswahili chako
Mbona Umekua na TABIA MBAYA YA KUIPONDA NCHI YA WAZAZI WAKO??? na umekua Ukijifanya MKENYA!!
BADILIKA.
Mimi Mkenya bwana, Kiswahili lugha yetu ya taifa na nakipenda, ila pia napenda lugha yangu ya asili na pia kingereza.
Chamsingi, lugha yoyote ukiipenda na kuichangamkia na kujiboresha, hatimaye utafanikiwa kuitumia ipasavyo.
Halafu mimi huwa siipondi Tanzania, humu tunahabarishana taarifa kama zilivyo bila kuremba.
Huwa mnaleta mabaya ya Kenya, yanatuuma ila ndio ukweli ambao hatuwezi kuubadilisha, hivyo Tanzania ikianikwa, wewe meza na kukubali kuhusika katika kutafuta suluhu.
 
Haya NTAMEZA!!!
 
Hatuwezi kusahau kwa mliyowafanyia waafrica, ndio sababu kila nchi inakuwa na siku maalumu ya kusherehekea Uhuru wake, mbona huko Kenya hadi Leo kuna makundi ya wakenya wamewashitaki waingereza kwa mateso waliyofanyiwa kipindi cha Maumau war?. Hatutosahau wala hatutosamehe, ninyi ni wasaliti wa Africa, mnajisogeza mkiona mtapata faida. No one shall trust Kenya, never.
Tanzania tu ndio ina wivu na Kenya lakini kwa bahati mbaya itakuwa vigumu nyie kutufikia kimaendeleo.
 
Tanzania tu ndio ina wivu na Kenya lakini kwa bahati mbaya itakuwa vigumu nyie kutufikia kimaendeleo.
Ninyi ni wabinafsi sana, mnagombana na majirani wenu wote kwa ubinafsi wenu, wakati wote mnataka ninyi mfaidike tu, hampo tayari kujitolea kwa ajili ya watu wengine.
1) Wakati wa vita vya ukombozi, mleungana na wazungu kwa maslahi ya kiuchumi
2) Sakata la EPA, mumeungana na wazungu kwa maslahi yenu
3) Sakata la kukataza mitumba, dakika za mwisho mlijitoa na kuungana na wazungu kwa maslahi yenu.
4) Somalia imewapeleka ICJ, ili kutafuta haki, mlipohusi mtashindwa, hamkwenda mahakamani ili kuvuruga mashtaka.
5) Migingo, mnataka kukichukua kiwe chenu.
6) Kile kipande cha ardhi mpakani na South Sudan, mnakitaka ili kuidhulumu South Sudan.
Ninyi ni wabinafsi sana na wasaliti wa Africa, hatutosahau wala SADC haitowasamehe kwa kutusaliti katika kipindi kigumu cha vita vya ukombozi.
 
Heri kufanya biashara na mabeberu. Nchi za africa makapuku tu wote. Hawafiki bei tena wanataka mda mrefu kabla wakulipe mali yako.
Soko la EU/USA/KOREA/JAPAN bado halija toshelezwa mazao na madini ya Tanzania, hakuna haja ya kutoa jasho kutafuta soko kwa mafukara, hao utawauzia mabaki na grade 3 ya mahindi kama JPM anvyofanyia kenya
.....yet, mwenyekiti wa chama chetu anaona Zimbabwe, Namibia, Rwanda and the like eti ndiyo appropriate development partners!
 
Huwa kuna vitu vinashangaza sana hapa Duniani, mtu alieyewasaliti waafrica akawakumbatia mabeberu na kuwaunga mkono mabeberu waendelee kuwachinja waafrica, Leo eti ndio yupo mstari wa mbele kufurahia ushirika wa waafrica na kuwapiga vijembe nchi iliyokua mstari wa mbele katika ukombozi wa Africa.
Sasa unataka Nchi za Africa ziwache kushirikiana ziomboleze nanyi huku zikiwatunukia sifa kwa mambo mliofanya zaidi ya miaka hamsini huko nyuma? Danganyikan mentality ni very petty.
 
.....yet, mwenyekiti wa chama chetu anaona Zimbabwe, Namibia, Rwanda and the like eti ndiyo appropriate development partners!
Ungependa nchi zipi ndio ziwe development partners?, umesahau kwamba Uzi huu umefunguliwa na mtu anayefurahia kuwepo na ushirikiano wa kibiashara miongoni mwa nchi za Africa, na amediriki kuzikebehi nchi za kibeberu?. Mbona hujataja South Afrika?
 
Sasa unataka Nchi za Africa ziwache kushirikiana ziomboleze nanyi huku zikiwatunukia sifa kwa mambo mliofanya zaidi ya miaka hamsini huko nyuma? Danganyikan mentality ni very petty.
Lengo ni kutaka kuwaonyesha kuwa " Mwisho wa ubaya ni aibu". Leo wakenya wanafurahia utengamano wa nchi za Africa, wakati mlijitahidi kuwasaidia wazungu ili waendelee kuzitawala nchi za Africa,, kwanini msiende kuomba "Membership ya E U?
 
Ninyi ni wabinafsi sana, mnagombana na majirani wenu wote kwa ubinafsi wenu, wakati wote mnataka ninyi mfaidike tu, hampo tayari kujitolea kwa ajili ya watu wengine.
1) Wakati wa vita vya ukombozi, mleungana na wazungu kwa maslahi ya kiuchumi
2) Sakata la EPA, mumeungana na wazungu kwa maslahi yenu
3) Sakata la kukataza mitumba, dakika za mwisho mlijitoa na kuungana na wazungu kwa maslahi yenu.
4) Somalia imewapeleka ICJ, ili kutafuta haki, mlipohusi mtashindwa, hamkwenda mahakamani ili kuvuruga mashtaka.
5) Migingo, mnataka kukichukua kiwe chenu.
6) Kile kipande cha ardhi mpakani na South Sudan, mnakitaka ili kuidhulumu South Sudan.
Ninyi ni wabinafsi sana na wasaliti wa Africa, hatutosahau wala SADC haitowasamehe kwa kutusaliti katika kipindi kigumu cha vita vya ukombozi.
Sasa unalia machozi? Hahaha
 
Lengo ni kutaka kuwaonyesha kuwa " Mwisho wa ubaya ni aibu". Leo wakenya wanafurahia utengamano wa nchi za Africa, wakati mlijitahidi kuwasaidia wazungu ili waendelee kuzitawala nchi za Africa,, kwanini msiende kuomba "Membership ya E U?
Mara mpo EAC mara SADC yani mnayumba kila siku na kwa sasa muungano wa Afrika yote mnasuasua Kama wasiojiamini.
 
It's a good move and a good start for economic liberation in Africa
 
Mara mpo EAC mara SADC yani mnayumba kila siku na kwa sasa muungano wa Afrika yote mnasuasua Kama wasiojiamini.
Mnaojiamini Mbona mnalia lia Tanzania kutosaini kwan mtapata hasara gan wakati nchi zilizosign ni nyingi kuliko zisizosign...
Mnacholia tz hajasign tunakijua na hatusign ng'ooooooooo
 
Mnaojiamini Mbona mnalia lia Tanzania kutosaini kwan mtapata hasara gan wakati nchi zilizosign ni nyingi kuliko zisizosign...
Mnacholia tz hajasign tunakijua na hatusign ng'ooooooooo
Kama masoko ya bidhaa zetu tunayoo so hakuna kujiunga na watu wenye nia ovu
 
Back
Top Bottom