Hongera mama Afrika, kumekucha, tumethubutu, bara letu linafunguka

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuanzia saa sita usiku wa kuamkia leo mkataba wa kufungua soko la pamoja Afrika umeanza kufanya kazi, kilichosalia ni kila taifa mwanachama kuratibisha halafu tarehe saba mwezi wa saba inazinduliwa rasmi.
Kimsingi, ni safari ndefu na yenye misukosuko lakini tutafika tu, bara hili tumenyonywa sana na kuliwa hadi wengi tumebaki mahandaki matupu, mabeberu hili linawapa tumbo joto maana mjinga akishtuka lazima mwerevu ubabaike, la kushangaza kuna baadhi ya mataifa bado yemenuna na kuona bora yaendelee huko huko kwa mabeberu, ila nategemea mlango utabaki wazi siku wakitia akili wataruhusiwa kuingia kwenye hili soko la walaji zaidi ya bilioni moja.
----------------------------------

The African continental free trade agreement legally came into effect at midnight, but the countries that have signed up have until July to work out the details of how it will work.
It is only from then that we'll start to see what difference it could make.
The AU's commissioner for trade and industry Albert Muchanga celebrated the news on Twitter.
"Historic milestone! #AfCFTA Agreement has today come into force. We celebrate the triumph of bold, pragmatic & continent-wide commitment 2 economic integration. We launch market on 7 July, 2019 & begin the journey of transformation 2 secure inclusive prosperity," Muchanga tweeted.
So far, only 24 African countries out of 54 have ratified the trade agreement with, among others, Africa’s largest economy Nigeria yet to sign.
Burkina Faso became the latest country to join when it signed up on Wednesday.

Heri kufanya biashara na mabeberu. Nchi za africa makapuku tu wote. Hawafiki bei tena wanataka mda mrefu kabla wakulipe mali yako.
Soko la EU/USA/KOREA/JAPAN bado halija toshelezwa mazao na madini ya Tanzania, hakuna haja ya kutoa jasho kutafuta soko kwa mafukara, hao utawauzia mabaki na grade 3 ya mahindi kama JPM anvyofanyia kenya
 
Huwa kuna vitu vinashangaza sana hapa Duniani, mtu alieyewasaliti waafrica akawakumbatia mabeberu na kuwaunga mkono mabeberu waendelee kuwachinja waafrica, Leo eti ndio yupo mstari wa mbele kufurahia ushirika wa waafrica na kuwapiga vijembe nchi iliyokua mstari wa mbele katika ukombozi wa Africa.
 
Kama kuna faida kwenye hiyo agreement wakenya si mfurahie mtapata tena inabidi mfurahi zaid maana tz hayumo kwa hiyo agreement.. Furahini wenyewe sio lazma na tz ajiunge hahaha.. Na tunajua y mnataka tz asign hahahha hapa kavu mpaka mwishoo
 
Haya ni mambo ya level nyingine, hatujadili vya EAC tena, ila Africa, Tz ni eneo ndogo sana ukilinganisha na Afrika.
Hapa tunazungumza kuhusu soko la walaji zaidi ya bilioni moja, yaani tushindwe wenyewe tu.
 
Basi hongereni wakenya all the best bonge la deal hilo hahaha..
Tangulien si tutakuja si unajua hatunaga papara
Haya ni mambo ya level nyingine, hatujadili vya EAC tena, ila Africa, Tz ni eneo ndogo sana ukilinganisha na Afrika.
Hapa tunazungumza kuhusu soko la walaji zaidi ya bilioni moja, yaani tushindwe wenyewe tu.
 
Heri kufanya biashara na mabeberu. Nchi za africa makapuku tu wote. Hawafiki bei tena wanataka mda mrefu kabla wakulipe mali yako.
Soko la EU/USA/KOREA/JAPAN bado halija toshelezwa mazao na madini ya Tanzania, hakuna haja ya kutoa jasho kutafuta soko kwa mafukara, hao utawauzia mabaki na grade 3 ya mahindi kama JPM anvyofanyia kenya
Wacha kuandika kupata likes. Mwanauchumi yeyote anafahamu fika kwamba bila trading with your neighbours huezi fanikiwa. Hizo nchi ulizotaja, zinatrade na majirani zao
 
Huwa kuna vitu vinashangaza sana hapa Duniani, mtu alieyewasaliti waafrica akawakumbatia mabeberu na kuwaunga mkono mabeberu waendelee kuwachinja waafrica, Leo eti ndio yupo mstari wa mbele kufurahia ushirika wa waafrica na kuwapiga vijembe nchi iliyokua mstari wa mbele katika ukombozi wa Africa.
Unaongea mambo ya 50 years ago. Huo wimbo unachosha sana.
 
Nikiwa na mahindi yangu afadhali nitengeneze cornflakes ni uze ulaya dollar 2 kwa kilo kuliko hayo mahindi kuyauza kwa mwafrika chini ya $0.30 kwa kilo eti africa ina walaji wengi..Sipo hapa kulisha watu mbali kutengeneza hela
Unadhani E.U ni choo unapeleka cornflakes hivi hivi. Umewahi ona rules and regulations of exporting to the E.U. NI rules mzito mzito bwana sio kila mtu anaeza timiza halafu pia hizo regulations huwa ndani ya EPA na T.Z walileta kichwa ngumu upande huo kwa hivyo sahau mambo ya exporting to E.U bila E.P.A, especially agricultural products ambazo E.U iko very protective about.
 
Wacha kuandika kupata likes. Mwanauchumi yeyote anafahamu fika kwamba bila trading with your neighbours huezi fanikiwa. Hizo nchi ulizotaja, zinatrade na majirani zao
No one has stopped trading with neighbours, But the priority is to sell to the highest bidder -Mzungu. Farmers,Manufacturers etc do not owe Africans food or clothing, they owe themselves an income bottomline!
 
Unadhani E.U ni choo unapeleka cornflakes hivi hivi. Umewahi ona rules and regulations of exporting to the E.U. NI rules mzito mzito bwana sio kila mtu anaeza timiza halafu pia hizo regulations huwa ndani ya EPA na T.Z walileta kichwa ngumu upande huo kwa hivyo sahau mambo ya exporting to E.U bila E.P.A, especially agricultural products ambazo E.U iko very protective about.
SADC wanatutegemea sana kwa chakula.
 
Hiyo soko ngumu kuingia ndio iko na hela kibao..Hii ya Africa ambayo haina standards kali itakufanya tu uwe mzembe hautaki kuongeza viwango vya ubunifu wako..
Afcta ni soko ya wazembe
 
Unaongea mambo ya 50 years ago. Huo wimbo unachosha sana.
Hatuwezi kusahau kwa mliyowafanyia waafrica, ndio sababu kila nchi inakuwa na siku maalumu ya kusherehekea Uhuru wake, mbona huko Kenya hadi Leo kuna makundi ya wakenya wamewashitaki waingereza kwa mateso waliyofanyiwa kipindi cha Maumau war?. Hatutosahau wala hatutosamehe, ninyi ni wasaliti wa Africa, mnajisogeza mkiona mtapata faida. No one shall trust Kenya, never.
 
Heri kufanya biashara na mabeberu. Nchi za africa makapuku tu wote. Hawafiki bei tena wanataka mda mrefu kabla wakulipe mali yako.
Soko la EU/USA/KOREA/JAPAN bado halija toshelezwa mazao na madini ya Tanzania, hakuna haja ya kutoa jasho kutafuta soko kwa mafukara, hao utawauzia mabaki na grade 3 ya mahindi kama JPM anvyofanyia kenya
We bila kuitaja Tz na Jpm hujisikii raha izo dalili za gayz bro
 
34053-img_0182.jpg
Ndio hii picha yenyewe kutoka kwenye kumbukumbu, marais wa nchi 52 za Afrika walipotia sahihi mkataba wa AfCFTA, kwa pamoja. Mkataba mkubwa zaidi duniani, ndio heshima ambayo tumeanza kuliridushia bara letu. Kwamba tunaweza tukapanga mambo ya maana kivyetu, sio kila mara tukiketi kwenye vikao ni kujadili vita na ukosefu wa usalama Afrika.
 
Back
Top Bottom