The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Moja Kwa moja nikupongeze Kwa kupiga chini bonaza la ufunguzi wa bwawa.
Mama tumekuwa tunasikitika na kuumia mno pale unapokuwa mwalikwa kwenye haya mabonanza ya CCM, matokeo yake marehemu mumeo anasimangwa hovyo hovyo.
Tumejitahidi Sana mara kadhaa kukushauri kutupilia mbali haya mtamasha ya CCM maana yamejaa walaghai tupu.
Mama Janeth mumeo aliupiga mwingi sana, nadhani shangwe za Leo zimekupa faraja.
Magufuli bado yupo kwenye mioyo ya watanzania wengi, Endelea kutoshobokea shuguli za Wana CCM Heshima Yako bado ni kubwa sana na haitashuka kamwe.