Hongera Mama Janeth Magufuli kwa kuelewa somo

Hongera Mama Janeth Magufuli kwa kuelewa somo

Miaka 50+ ya uhuru tunahangaika na umeme. Viongozi karibia wote wameenda kuvumbua bwawa la umeme wakati wengine hawakumbuki umeme umekatika lini.
Nawaambia hii nchi ni masikini sana watu wanabisha.
Miaka 50+ ya uhuru hakuna jambo la maana lililokamilika 100% lkn kila siku viongozi wanatembelea gari za gharama VX. Shida hii nchi viongozi wengi wanaakili km ya Nape.
Watu wanamwambia gharama za bando zipo juu anaanza kuchamba watu.
Hii nchi hasara sana
Na viongozi ni wengi mno katika maeneo yanayoweza kuongozwa na watu wachache tu, ndo maana wengi wamegeuka vyawa.
 
Moja Kwa moja nikupongeze Kwa kupiga chini bonaza la ufunguzi wa bwawa.

Mama tumekuwa tunasikitika na kuumia mno pale unapokuwa mwalikwa kwenye haya mabonanza ya CCM, matokeo yake marehemu mumeo anasimangwa hovyo hovyo.

Tumejitahidi Sana mara kadhaa kukushauri kutupilia mbali haya mtamasha ya CCM maana yamejaa walaghai tupu.

Mama Janeth mumeo aliupiga mwingi sana, nadhani shangwe za Leo zimekupa faraja.

Magufuli bado yupo kwenye mioyo ya watanzania wengi, Endelea kutoshobokea shuguli za Wana CCM Heshima Yako bado ni kubwa sana na haitashuka kamwe.
Dtk Magufuli anaishi. Na hapo January alihakikisha anaalika wale ambao ni wenye chuki na Dkt Magufuli tu ila cha ajabu kabisa kumbe ni wanaamini ktk utendaji wa Dkt Magufuli.
 
Unajuaje?
Kwahyo unataka kuniambia alikuwa anateswa ndani kwa ndani na ndugu tusijue? Jibu ni hapana ila wanawake wengi huwa wanakuwa na vinyongo sana kwa wanaume zao hasa linapokuja suala la umiliki wa rasilimali zilizopo katika familia na hasa mwanamke akihisi zinanufaisha upande mmoja wa mwanaume
 
Hata yeye kanawiri baada ya mmewe kufa
Analelewa na ccm na si mwandishi wa hii post.
Chama kina mjali ndio maana kanona kuliko enzi za jiwe.
Mm na familia yangu jiwe si sehemu ya moyo wangu.
 
Hivi kwa nini? Watu wanakufaga jamani?
 
Hakuna kitu kibaya kama kufiwa mme, siku akizikwa ndo utajuwa thamani yake haya maneno niliambiwa na mama yangu.

Watu sijui wana waza nini? Eti tangu jpm wetu afe mke wake kapendeza zaidi? Huu ni uongo ili ionekane alikuwa anamtesa.

Jpm wetu awe mbaya kiasi gani lakini ndo alimpa heshima ya ndoa mama janeth! Na ndo maan mpaka anakufa walikuwa hawajaachana! Ni wangapi wako kwenye ndoa wanateswa na maisha yanaendelea?

Na thamani aliyo nayo yote sasa hivi ni kwa sababu ya jina la jpm.

Bora angepauka akakonda ila mme wake akabaki hai! Tuseme amependeza kama unavyose kampendezea nani? Anyway......
unabishana na wasimbe😂😂😂
 
Back
Top Bottom