The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Hakika.Moja Kwa moja nikupongeze Kwa kupiga chini bonaza la ufunguzi wa bwawa.
Mama tumekuwa tunasikitika na kuumia mno pale unapokuwa mwalikwa matokeo yake marehemu mumeo anasimangwa hovyo hovyo.
Tumejitahidi Sana mara kadhaa kukushauri kutupilia mbali haya mtamasha ya CCM maana yamejaa walaghai tupu.
Mama Janeth mumeo aliupiga mwingi sana, nadhani shangwe za Leo zimekupa faraja.
Magufuli bado yupo kwenye mioyo ya watanzania wengi, Endelea kutoshobokea shuguli za Wana CCM Heshima Yako bado ni kubwa sana na haitashuka kamwe.
Zamu zamu. Subiri na wewe.Hata yeye kanawiri baada ya mmewe kufa
Kwa jicho la karbu Magu alikuwa kiongozi bora ila kabla ya kusifu tafta qualities of good leadership afu ujumulishe na tozo za youtube,Lissu,Kagera,Sabaya,Makonda,Ben saa8,watu wasiojulikana ambao kwasasa hatuwaskii maigzo ya dini katka uongozi kauli tata uminywaji wa demokrasia,Tanzania inajiendesha kiuchumi,Kufukuzwa mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali nk.Ila pia kama ni uongo utasema kwamba Kakobe hakukaguliwa na kuombwa mapato na TRA baada ya kumkosoa mzee wa kununua ndege na miladi ya nchi bila kupita bungeni aka mzee wa vitambulisho feki vya machinga[emoji120]Moja Kwa moja nikupongeze Kwa kupiga chini bonaza la ufunguzi wa bwawa.
Mama tumekuwa tunasikitika na kuumia mno pale unapokuwa mwalikwa matokeo yake marehemu mumeo anasimangwa hovyo hovyo.
Tumejitahidi Sana mara kadhaa kukushauri kutupilia mbali haya mtamasha ya CCM maana yamejaa walaghai tupu.
Mama Janeth mumeo aliupiga mwingi sana, nadhani shangwe za Leo zimekupa faraja.
Magufuli bado yupo kwenye mioyo ya watanzania wengi, Endelea kutoshobokea shuguli za Wana CCM Heshima Yako bado ni kubwa sana na haitashuka kamwe.
Good 👏Moja Kwa moja nikupongeze Kwa kupiga chini bonaza la ufunguzi wa bwawa.
Mama tumekuwa tunasikitika na kuumia mno pale unapokuwa mwalikwa matokeo yake marehemu mumeo anasimangwa hovyo hovyo.
Tumejitahidi Sana mara kadhaa kukushauri kutupilia mbali haya mtamasha ya CCM maana yamejaa walaghai tupu.
Mama Janeth mumeo aliupiga mwingi sana, nadhani shangwe za Leo zimekupa faraja.
Magufuli bado yupo kwenye mioyo ya watanzania wengi, Endelea kutoshobokea shuguli za Wana CCM Heshima Yako bado ni kubwa sana na haitashuka kamwe.
Bila kusahau vyeti feki na watumishi hewa, pia wakwepa kodi na wezi wa madini.Kwa jicho la karbu Magu alikuwa kiongozi bora ila kabla ya kusifu tafta qualities of good leadership afu ujumulishe na tozo za youtube,Lissu,Kagera,Sabaya,Makonda,Ben saa8,watu wasiojulikana ambao kwasasa hatuwaskii maigzo ya dini katka uongozi kauli tata uminywaji wa demokrasia,Tanzania inajiendesha kiuchumi,Kufukuzwa mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali nk.Ila pia kama ni uongo utasema kwamba Kakobe hakukaguliwa na kuombwa mapato na TRA baada ya kumkosoa mzee wa kununua ndege na miladi ya nchi bila kupita bungeni aka mzee wa vitambulisho feki vya machinga[emoji120]
Hakuna kitu kibaya kama kufiwa mme, siku akizikwa ndo utajuwa thamani yake haya maneno niliambiwa na mama yangu.Hata yeye kanawiri baada ya mmewe kufa
Moja Kwa moja nikupongeze Kwa kupiga chini bonaza la ufunguzi wa bwawa.
Mama tumekuwa tunasikitika na kuumia mno pale unapokuwa mwalikwa matokeo yake marehemu mumeo anasimangwa hovyo hovyo.
Tumejitahidi Sana mara kadhaa kukushauri kutupilia mbali haya mtamasha ya CCM maana yamejaa walaghai tupu.
Mama Janeth mumeo aliupiga mwingi sana, nadhani shangwe za Leo zimekupa faraja.
Magufuli bado yupo kwenye mioyo ya watanzania wengi, Endelea kutoshobokea shuguli za Wana CCM Heshima Yako bado ni kubwa sana na haitashuka kamwe.
Nape Hana akili Yule, ni kilaza ndani na nje ya DarasaMiaka 50+ ya uhuru tunahangaika na umeme. Viongozi karibia wote wameenda kuvumbua bwawa la umeme wakati wengine hawakumbuki umeme umekatika lini.
Nawaambia hii nchi ni masikini sana watu wanabisha.
Miaka 50+ ya uhuru hakuna jambo la maana lililokamilika 100% lkn kila siku viongozi wanatembelea gari za gharama VX. Shida hii nchi viongozi wengi wanaakili km ya Nape.
Watu wanamwambia gharama za bando zipo juu anaanza kuchamba watu.
Hii nchi hasara sana
Kwani uhuru ulikua una maana gani kama miaka 60+ lakini hatuna umeme wa uhakikaWATU WAMEMSAGAU NYERERE KABSA AMBAE ALITUTOA KWENYE UKOLONI NA KUTULETA KWENYE UKOLONI MAMBO LEO ILA ETI ANA-TREND MTU MMOJA TU
Watu kama nyie nilitegemea kuona comments zenuKwa jicho la karbu Magu alikuwa kiongozi bora ila kabla ya kusifu tafta qualities of good leadership afu ujumulishe na tozo za youtube,Lissu,Kagera,Sabaya,Makonda,Ben saa8,watu wasiojulikana ambao kwasasa hatuwaskii maigzo ya dini katka uongozi kauli tata uminywaji wa demokrasia,Tanzania inajiendesha kiuchumi,Kufukuzwa mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali nk.Ila pia kama ni uongo utasema kwamba Kakobe hakukaguliwa na kuombwa mapato na TRA baada ya kumkosoa mzee wa kununua ndege na miladi ya nchi bila kupita bungeni aka mzee wa vitambulisho feki vya machinga[emoji120]
Very true, pia ni kukosa hoja na kujiaminiKuwananga jamaa wa marehemu ni kufilisika kwa mawazo
Magufuli alifuta legacy za watangulizi wake Kwa vitendo kugusa maisha ya watu.WATU WAMEMSAGAU NYERERE KABSA AMBAE ALITUTOA KWENYE UKOLONI NA KUTULETA KWENYE UKOLONI MAMBO LEO ILA ETI ANA-TREND MTU MMOJA TU
fany mema kabla hujafa,unakumbuka ya Zanzibar lkn? unaona uchaguz umebiwa madhara yake tunapata viongoz wanatuambia kama tozo hatutak basi tuhamie BurundVery true, pia ni kukosa hoja na kujiamini