Hongera Mama Samia kwa kusikiliza maoni yetu

Hongera Mama Samia kwa kusikiliza maoni yetu

happyxxx

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
604
Reaction score
1,970
Screenshot_20210507-185657_Opera Mini.jpg

Nampa hongera Mama yetu Samia kwa kutusikiliza watu wa mitandaoni.

Ametoa maelekezo kwa IGP afanyie kazi issue ya ujambazi Dar es Salaam. Kwa kweli hali ni mbaya haswa huku Mikocheni.

Mama umenikosha sana.
 
Yes mama ni msikivu, hao maajambazi walioanza ku-beep itakula kwao
 
Ukweli kama majambazi yataturidisha nyuma halafu vyombo vyetu vya usalama vinapotezea, bora raia tujiongeze.

Ni kufanya uchunguzi binafsi kimyakimya na kuishi kimafia tu.

Kila mzazi amchunge mwanae.
 
View attachment 1776622
Nampa hongera Mama yetu Samia kwa kutusikiliza watu wa mitandaoni.

Ametoa maelekezo kwa IGP afanyie kazi issue ya ujambazi Dar es Salaam. Kwa kweli hali ni mbaya haswa huku Mikocheni.

Mama umenikosha sana.
hivi aliposema Nani sijui arudishwe dar kuukabili ujambazi, ni Nani huyo?
 
kwakweli kuibuka kwa vitendo vya kihalifu ktk Jiji la DSM ni "tusi" kwa Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.

yaaani makamanda ni wale wale ambao ndio walifanya kazi kubwa kutunza amani na utulivu sasa nini tena kimebadilika?! Hpana hii haifai, dhibitini kasoro hii haraka ambayo kimsingi inatia doa Jeshi letu la Polisi mkoa wa DSM.

Tunaomba Patrol zifanyike kwa umakini usiku na mchana, na sisi wananchi tutatoa ushirikiano wa kutoa taarifa za siri.

Magenge ya Wavuta bangi ktk mitaa yetu ndio vyanzo vya ujambazi/wizi/ubakaji/ukwapuaji.

hivyo kwanza tutokomeze mazalia ya uhalifu magenge ya wavuta bangi, tushirikiane na viongozi wa serikali za mitaa kubaini magenge ya wavuta bangi ktk mitaa yetu.
 
View attachment 1776622
Nampa hongera Mama yetu Samia kwa kutusikiliza watu wa mitandaoni.

Ametoa maelekezo kwa IGP afanyie kazi issue ya ujambazi Dar es Salaam. Kwa kweli hali ni mbaya haswa huku Mikocheni.

Mama umenikosha sana.
Tatizo ma jambazi numbe moja ni hao hao ma police, kuna juzi Kati kituo cha police cha kawe Kimelalamikiwa.
 
View attachment 1776622
Nampa hongera Mama yetu Samia kwa kutusikiliza watu wa mitandaoni.

Ametoa maelekezo kwa IGP afanyie kazi issue ya ujambazi Dar es Salaam. Kwa kweli hali ni mbaya haswa huku Mikocheni.

Mama umenikosha sana.
PM 130 ZOTE ZA VIDUME HUMU. halafu mona tu ndio ya ke😂😂😂😂

kweli dadaz wa humu mnapata tabu sana
Screenshot_20210507-202750.png
 
Ukweli kama majambazi yataturidisha nyuma halafu vyombo vyetu vya usalama vinapotezea, bora raia tujiongeze.

Ni kufanya uchunguzi binafsi kimyakimya na kuishi kimafia tu.

Kila mzazi amchunge mwanae.
Police wasiyo watiifu wanapata kipato kikubwa kutoka kwa Majambazi. Hakuna Jambazi asiyejulikana na Police labda kibaka muiba Ndala Buguruni
 
Back
Top Bottom