Hongera Maria Sarungi, mmeanza vyema kupata wajumbe wa Kamati ya Katiba lakini nadhani mmekosea fanyeni maboresho

Wee akili yako umekabidhi kwa shaka hamdu kichwa kiko kitupu hutaelewa
Haya wewe mwenye akili muambie sasa Maria Sarungi awaandikie barua za kuteuliwa, awajulishe na tarehe ya kuanza kikao.

Hata chekechea huwa wana act ubaba na umama, lakini wanaendekea kuwa watoto
 
Upumbavu usio na kichwa wala miguu space ndio bunge la wananchi? Pumbavu kabisa mavi
 
Wanaandika Katiba ya kikundi cha kufa na kuzikana? Au cha SACCOS? Watanzania kwa kujipa umaarufu!! Yaani tayari wameunda timu ya Katiba mpya ya Nchi ya kufikirika.
Akili kisoda mwili jumba...
 
Wanaandika Katiba ya kikundi cha kufa na kuzikana? Au cha SACCOS? Watanzania kwa kujipa umaarufu!! Yaani tayari wameunda timu ya Katiba mpya ya Nchi ya kufikirika.

Ni vizuri kuwa umejipanga ili ikifika wakati huo hata ikitakiwa kipi cha kufanyika tayari wawe wamejipanga. Au unadhani kila siku hawa waliopo wataendelea kukaa wao madarakani, hujui kama meza inaweza kugeuka?
 
Kupitia TOZO za walala hoi,
Hakuipima hii kauli kabla hajaongea.Kula kwa urefu wa kamba na wajipimie ina maana hakuna sheria na kanuni?
Mkuu nimeiwaza sana hii kauli ya Mkuu wa Nchi. Hivi hao viongozi si wana mshahara, posho, gari, nyumba na vitendea kazi vyote? Iweje Rais wa Nchi awaambie kuwa pamoja na hayo yote basi kila mmoja wao aendelee kula urefu wa kamba yake? Sijaelewa kwa kweli amemaanisha nini, labda tueleweshwe tena.
 
Resources gani wanakupotezea ammmiiiy kwani wameomba posho kutoka mfuko wa walipa kodi?

Sasa unafikiri hiyo posho inatoka mfuko gani? Au na wewe uko sawa na Mwigulu Kuwa POSHO inatoka Serikalini na sio mifukoni mwa wananchi?
 
Aise kwa yanayoendelea ya Chief Hangaya na Mzee wa Msoga yanatia hasira, aibu, umaskini na ufukara

SAMIA ni creation ya Vasco Dagama ,hivyo atamburuza atakavyo! Anajinasibu kuwa yeye ndio aliyependekeza awe Vice President hivyo hata huo URAIS bila shaka ana mkono wake Mpaka Samia kuupata!!!
 
Kuna kiongozi mstaafu ambae hana maslahi na CCM?
 
Hakuna katiba ya maana inayoweza kuandikwa kwa namna hiyo unayotaka ya kuweka wawakilishi wa makundi, katiba nzuri inahitaji kuandikiwa na watu wachache wenye utaalamu mkubwa wa haki, uongozi na utawala bora, wengi lazima wawe wanasheria bila kujali makundi wanayotoka.
 
Uzi umejitosheleza. Hii ni kama Katiba Initiative ya Kenya na ilileta mafanikio makubwa
 
Aise kwa yanayoendelea ya Chief Hangaya na Mzee wa Msoga yanatia hasira, aibu, umaskini na ufukara.

Kwa mara ya kwanza nakubali. Tunahitaji KATIBA mpya. Tena leo leo.
Hongera kuzinduka. Wapo wengi walichelewa kuujua ukweli huu sasa wameungana na sisi.
 
Sio kweli. Iliyoandikwa na watu wachache ndio hii inapigiwa kelele. Hayo makundi yaliyoanishwa sio yanayokwenda kuandika bali kuweka mstakabali wa namna Katiba inatakiwa kuandikwa kwa heri na amani bila misuguano.
 
Sio kweli. Iliyoandikwa na watu wachache ndio hii inapigiwa kelele. Hayo makundi yaliyoanishwa sio yanayokwenda kuandika bali kuweka mstakabali wa namna Katiba inatakiwa kuandikwa kwa heri na amani bila misuguano.
Tatizo la katiba hii sio kwa sababu walikuwa wachache walioiandika bali kwa sababu walioindika hawakuwa na maona makubwa ya mbeleni kuhusu nchi na walijikita zaidi kupata nyaraka itakayodumisha nguvu zao kuliko uhuru na maendeleo ya watu. Mwaka 1977 nchi hii ilikuwa kijani kitupu hivyo haijalishi idadi ya watu ambao wangehusika kuandika katiba, matokeo yangekuwa ni yale yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…