Hongera Matola, Hongera wachezaji wa Simba, nimefurahi kama vile tumechukua ubingwa sisi

Acha kushabikia ujinga ww hujapiga shut hata moja on target unashabikia
 
Hopeless team.. hata shambulio mmoja ktk dkk 90 Simba haikuweza kukaribia Langoni...
Jamani mpira au mechi ni attacks (kushambulia ndiyo raha)
 
Tangazeni vita, Yanga ishakua tishio kwenu. Simba bila kuwaficha mnavimbishwa pua wakati uwezo wenu mdogo mno na wa kubahatisha bahatisha.
 
Ukizingatia ushindi wa jana unawapeleka Group Stage ya Champions league barani afrika na mtacheza na tp mazembe wagumba fc mliozaa Jana.
Ila wenzako wanaumia we endelea kujifariji.
 
Hongereni Utopolo kwa kupata kifuta machozi.
 
Lile neno kikosi kipana limekufa siku hizi?

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Basi utelembwe mmeshinda?
 
Statistics za azam media, na wao ni utopolo mana hawajui hata shots on target, simba walipiga zaidi ya shots on target 4, wao wanaandika 0, ila ndio utopolo tu hao hao.
Mshikeni huyu utelembwe
Kashalewa maskini
 


Katika mechi kali ya UEFA Champion League kati ya Liverpool Vs Atlanta ya italia iliyofanyika katika Uwanja wa Anfield nyumbani kwa liverpool hadi mwisho wa mchezo wenyeji walikuwa na Zero Short on Target. Ninyi wachambuzi, naomba na hili muliongelee.

Ahsante
 
Dakika 90. Shots on target.

Simba 0 Yanga 5. Bado naona tatizo mahali kwa Simba
Ile timu ni kubwa kwa matola wachezaji walikuwa wakicheza kwa uzoefu na vipaji binafsi kulikuwa hamna muunganiko wowote nashukuru tumefungwa maana tungeshinda ungesikia watu wanasema matola apewe mikoba.
Simba waache kuishi kimazoea wamejazana Zanzibar badala ya kushugulikia haraka swala la kocha na mpaka sasa kocha wa makipa hajatangazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…